Kiafya Wanandoa wanatakiwa kujamiiana mara ngapi kwa siku,wiki au kwa mwezi?
Ndugu wana JF nauliza swali hili ili nielimishwe na wala si utani kwani ndoa ni muhimu katika kuchangia afya ya wanandoa.Naomba mnielimishe.

Kwani wewe kwa sasa unajamiiana mara ngapi (kwa siku, wiki, au mwezi)?
Huenda hajaoa/olewa
yeah ni kweli, na kimaadili kujamiiana ni kwa wanandoa tu kama sisi.
Nimekutana na mwanandoa mmoja anasema mwenzake anakataa kila siku kwa kuwa nonino italegea na maziwa yatalala kama ya Bikizee.Anataka mara moja tu kwa wiki.
Ninawashukuru sana kwa kuwa nimepata shule ya kutosha kuhusu suala hilo.
Kiafya Wanandoa wanatakiwa kujamiiana mara ngapi kwa siku,wiki au kwa mwezi?
Ndugu wana JF nauliza swali hili ili nielimishwe na wala si utani kwani ndoa ni muhimu katika kuchangia afya ya wanandoa.Naomba mnielimishe.
Sanasana inashauriwa mara 3 kwa siku hii husaidia kuwaweka wana ndoa karibu ndio sababu mara nyingi kwa baadhi ya nchi utakuta maeneo ya mjini biashara hufungwa saa sita mchana nakufunguliwa saa 8 mchana ili wanandoa wawezi pata dozi yao na ikizingatiwa mara nyingi wakati huo watoto wako shuleniKiafya Wanandoa wanatakiwa kujamiiana mara ngapi kwa siku,wiki au kwa mwezi?
Ndugu wana JF nauliza swali hili ili nielimishwe na wala si utani kwani ndoa ni muhimu katika kuchangia afya ya wanandoa.Naomba mnielimishe.
Tunaomba mifano halisi ya hizo nchi, tafadhali.Sanasana inashauriwa mara 3 kwa siku hii husaidia kuwaweka wana ndoa karibu ndio sababu mara nyingi kwa baadhi ya nchi utakuta maeneo ya mjini biashara hufungwa saa sita mchana nakufunguliwa saa 8 mchana ili wanandoa wawezi pata dozi yao na ikizingatiwa mara nyingi wakati huo watoto wako shuleni
ha! kila siku mara tatu!!!!Sanasana inashauriwa mara 3 kwa siku hii husaidia kuwaweka wana ndoa karibu ndio sababu mara nyingi kwa baadhi ya nchi utakuta maeneo ya mjini biashara hufungwa saa sita mchana nakufunguliwa saa 8 mchana ili wanandoa wawezi pata dozi yao na ikizingatiwa mara nyingi wakati huo watoto wako shuleni