Kevin Twisa, mfano wa kuigwa

Hao mnaowasema "wameamua" kurudi bongo wenyewe hawajaamua kihivyo, ni circumstances tu. Sema siwezi kuingia katika detail za private individual na maisha yake, it's simply not fair. Watu wa Ohio probably wanajua ninachoongea.

Nimesikia kuna moja wa Ohio not long ago naye wazee wamemrudisha...sijui ndo huyo unayemzungumzia...
 
Nimesikia kuna moja wa Ohio not long ago naye wazee wamemrudisha...sijui ndo huyo unayemzungumzia...

Hapana, huyu alikwenda Tigo kitambo.

Halafu wakirudishwa huko, wakipewa kazi tunaambiwa "wamerudi".

Wamerudi my foot, wanaorudi kwa kutaka wanahesabika, na hawajatajwa hapa.
 
Kumbe watu wanapigwa Tanganyika jeki huko na wajomba basi wakifika hapa wanadai wamerudi kwa hiari yao du, wewe mtoto wa mkulima kama mimi huna jina nchi hii urudi ili iweje?.
 
Hivi huyu Kevin Twisa kafanya kitu gani cha ajabu mpaka watu wanashauriwa warudi bongoooo??Sana sana mie naona amecopy na kupaste vitu vinavyofanywa na makampuni ya simu ya majuu.Kuna jipya analofanya??????
Kuuaga umaskini Tanzania, ni kazi kweli kweli.Fikiria haya yafuatayo:
  • Asilimia 50% ya idadi ya watu Tanzania ni wale wenye umri chini ya miaka 18.Hii inaashiria fertility rate kubwa sana. Asilimia 49% wakiwa kati ya miaka 15-64 ambao ni umri wa kuzalisha. Hii ina maana kuwa nusu ya watanzania bado hawako katika nafasi ya kuchangia ukuaji wa pato la taifa na hatimaye kuuondosha umaskini.Cha kusikitisha zaidi ni kuwa, katika kila watu 100 walio katika kundi la kuweza kuzalisha, ujue kuna watu 104 ambao ni tegemezi.Just think about the age dependency ratio here in relation to growth and poverty reduction.
  • Robo ya households, zinaongozwa na wanawake ambao inasemekana ni maskini zaidi ukilinganisha na wanaume.
  • Asilimia, 3% ya watoto chini ya miaka 18 wamepoteza mzazi mmoja, ambapo asilimia moja ya wale chini ya miaka 18 wamepoteza wazazi wote.Hii inaonyesha kiwango cha uyatima na mzigo wa kulea watoto yatima.
  • Ni asilimia 11% tu ya household Tanzania zenye umeme, Mijini ni aslimia 38 tu ndio wana umeme
  • Asilimia 80 ya household bado wanatumia vyoo vya shimo ( pit latrines).Ni asilimia 3 tu ndio wanatumia vyoo vya kisasa (modern flush toilets) !!
  • Asilimia 30 wanaishi kwenye nyumba ya chumba kimoja cha kulala wakati asilimia 37 wanaishi nyumba ya vyumba viwili vya kulala.
  • 4/10 households za mijini Tanzania bara wanaishi nyumba yenye chumba kimoja tu cha kulala.
Unaweza kupata takwimu zaidi kutoka TDHS 2004/5 which is the latest.
Na bado mwataka turudi huko.....duuuh si mchezo.
 
Tanzania nchi yangu nakupenda kwa moyo wote, tutaendelea kubanana huku huku bongo na umasikini yetu.
Nyumbani ni nyumbani hata kama kuna choo cha shimo.
 
kubeba boxi ni maisha ambayo mtu kayachagua. Kuna vijana wengi sana wanatoka vijijini kuja mjini kutaka kujiendeleza, hao wanakubaliwa na hakuna mtu anayewalazisha kurudi vijijini, na hawa wa maboksi nao waachwe. Kuna wangapi leo ambao wanaenda kuendeleza vijiji vyao? Si wote tunaishia mijini tu?

Mijini ndio kumekua nyumbani kwetu sikuhizi, zamani wazee ulikuwa unawasikia wakisema wanarudi vijijini, sikuhizi mtu ukisikia karudi kijijini ni karudishwa kwa sababu ni mgonjwa! Wazungu wanasema home is where your heart is.

Mimi niko bongo, na maisha yangu yote nimeishi hapa, sina tatizo na mtu ambaye kaamua kuishi maisha yake nje, ila tu asionyeshe dharau kwa wale ambao tuko huku. Majority wako hapa kwa sababu its the only alternative, sio kwa sababu tu hapa ni nyumbani, walioweza kwenda nje ni asilimia ndogo sana na ni wenye bahati (if i can say that).
 
Nyie mwaogopa nini kusema Kelvin katolewa nduki USA..! Tupo Dar tumeshasikia habari zake muda mrefu.
Kufanya kazi Tigo kwani issue ? Wapo ma sister duu kibao tunawajua na elimu zao za secondary ambao wanafanya kazi kwenye hizo kampuni za simu.

Acheni unafiki, vijana wapo na maisha yao na sisi tuendelee kusurubiwa Bongo, Kila kukicha ni skendol mpya.
 
Uongo hakutolewa nduki USA,
 
You have said the truth! Wivu bana!

Thanks na yeye ajitahidi tutamwazishie thread yake na vilevile akiendelea kuwa hater tutamwanzishia ya kwake if u cant make the history positive then make it negative.
 
Thanks na yeye ajitahidi tutamwazishie thread yake na vilevile akiendelea kuwa hater tutamwanzishia ya kwake if u cant make the history positive then make it negative.

You can say it again!
 
Thanks na yeye ajitahidi tutamwazishie thread yake na vilevile akiendelea kuwa hater tutamwanzishia ya kwake if u cant make the history positive then make it negative.
what mattaaz ni histori............
 
Baada ya kusoma makala yote hii kwa utaratibu nimegundua watanzania tuna sifa kuu nne:-

1. Watanzania tunapenda umbeya na kufatiliana huyu kafanya hili yule kafanya hilo alimradi anafatilia maisha ya mwenzie. Waswahili wanasema ukiona ukiona kwa mwenzio kunaungua kwako kunateketea.
2. Watanzania hatuna mtazamo wa mbali (short-sited) hili linasababishwa na kukosekana na critical thinkers. Kwamfano kuna tatizo gani mtu akibeba boksi na mwengine akiwa ofisini (to me there is no difference if both of them are doing something.).
3. Generalization ni kitu kibaya sana mafanikio ya Warren Buffet si kila mtu anaweza kuyafikia kuna factors nyingi zinazochangia kufikia huko hivyo basi msimuangalie Kevin Twisa eti mkalinganisha na Juma Mchongaviatu nadhani pangelikuwa na figures za wabongo waliofanikiwa tanzania.
4. Wivu ni kitu kibaya sana wewe kama umefanikiwa tanzania na yule amefanikiwa USA ni kila mtu maisha yake. Kuna msemo unasema Hasidi hawi bwana hivyo mtu mwenye kijicho au wivu hafanikiwi maisha sana sana ataishia kuiba tu ajionyeshe naye yumo katika waliofanikiwa.

In summary watanzania tusiwe bias whether mtu yupo ulaya au bongo kila mtu na maisha yake. Njia za kwenda university of dar-es-salaam ni nyingi kuna mwenge, ubungo, porini,etc. but zote zinafika UDSM hivyo msipende kuwapangia watu maisha yao kama yenu yamewashinda
 
Hapo nilipo-bold ndio point hasa, wabongo tuna wivu hata wa kuweza kumtafuna mtu mzima mzima!.
 
Back
Top Bottom