Kesi ya Uchaguzi Kigoma Mjini: Updates

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Defeated candidate petitions election results

By DAILY NEWS Reporter

THE defeated Chadema Parliamentary candidate for Kigoma Urban, Mr Ally Khalfan Mleh ,has filed a case at the High Court, Tabora Registry, challenging the election of CCM Member of Parliament Mr Peter Joseph Serukamba, citing several incidents of fraud and irregularities.
In a petition lodge by Makoa Law Chamber (Advocates) on November 24, 2010, Mr Mleh is seeking among others things, nullification of the election results. Mr Serukamba is being sued alongside the Attorney General (AG).
The petitioner is also asking the court to issue an order, directing for what he dubbed transparent, free and fair by-election for the constituency. Alternatively, Mr Mleh is seeking to be declared the lawfully elected MP
for the constituency.

Advocate Semu Anney from the law firm stated in the petition, whose hearing date has not been set yet, that the petitioner lawfully participated in the 2010 General Elections as parliamentary candidate for the Kigoma Urban on Chadema ticket, held on October 31, 2010.
According to the declared parliamentary election results, Mr Serukamba obtained a total of 20,594 votes, while the petitioner got 19,414 votes only. The results were fundamentally flawed because not only the figures were incorrect, but also tallying of votes was questionable.
According to him, tallying of the results form (Form No. 2) from all the 222 polling stations of the Kigoma Urban Constituency shows that the Mr Mleh scooped a total of 21,104 votes while Mr Serukamba scored a total of 20,704 votes only.
“Declaration of results was fraught with irregularities and non-compliance with the provisions of the National Election Act (CAP 343 R. E 2010), the 2010 National Electoral Commission’s (NEC) Directives to Returning and other Officers as well as principles of free and fair elections,” the counsel stated.
Such flaws and irregularities, he alleged, have affected the results of the election and thereby caused irreparable losses to the petitioner as he has been denied the right to be declared as the lawfully elected MP for the constituency and have unjustifiably denied the will of voters to prevail.
He claimed that Serukamba was at the time of election not qualified to be elected as MP because he was not a Tanzanian citizen as his citizenship was obtained by fraudulent means for providing incorrect and untrue information to the responsible authorities.
“Before the election day, the 2nd Respondent (Serukamba) agents were involved in practice of buying voting cards from registered voters. This was reported to the police.
Furthermore, he was also involved in other corrupt and illegal practices during election campaigns,” the advocate further stated.
He stated also that declaration of results was delayed, creating skirmishes from members of the public who were present at the tallying centre and who had demanded announcement of the results.
While the Kigoma Urban Constituency had a total of 222 polling stations, he claimed, neither tallying nor verification of the final results was done by the Returning Officer as required by the law.
 
"Declaration of results was fraught with irregularities and non-compliance with the provisions of the National Election Act (CAP 343 R. E 2010), the 2010 National Electoral Commission's (NEC) Directives to Returning and other Officers as well as principles of free and fair elections," the counsel stated.
Such flaws and irregularities, he alleged, have affected the results of the election and thereby caused irreparable losses to the petitioner as he has been denied the right to be declared as the lawfully elected MP for the constituency and have unjustifiably denied the will of voters to prevail.

Hizi hoja kama wana ushahidi ni rahisi kuzithibitisha.................
 
He claimed that Serukamba was at the time of election not qualified to be elected as MP because he was not a Tanzanian citizen as his citizenship was obtained by fraudulent means for providing incorrect and untrue information to the responsible authorities.

Hoja hii yahitaji ushirikiano wa Immigration......................ambao ni vigumu wao kujikaanga kwa mafuta yao wenyewe kuwa ni wazembe au wala rushwa..........................................Hivyo hoja hii ni vigumu kuithibitisha mahakamani.................
 
"Before the election day, the 2nd Respondent (Serukamba) agents were involved in practice of buying voting cards from registered voters. This was reported to the police.
Furthermore, he was also involved in other corrupt and illegal practices during election campaigns," the advocate further stated.

Kuripoti tukio polisi hakutoshi kuonyesha ya kuwa mdaiwa alijihusisha na vitendo vya rushwa............itabidi watoe ushahidi mwingine wa ziada hapo....................
 
Kuna taarifa kuwa kesi ya uchaguzi Kigoma mjini kati ya Ali Mley Cdm na Peter Serukamba CCM imesimama baada ya mwakili wa mdai kujitoa kwenye kesi wakilalamikia upendeleo wa jaji kwa wadaiwa,wakamtaka jaji ajitoe nayeye akagoma ndio wao wabwaga manyanga............wadau mlio Kigoma tupeni updates
 
Hii kesi ya kipuuzi imetupiliwa mbali leo jumatano mahakamani Kigoma. Serukamba oyeee!
 
Hii kesi ya kipuuzi imetupiliwa mbali leo jumatano mahakamani Kigoma. Serukamba oyeee!

Hacha kugeuza J.F kama ni home kwa watu wasio think big,kesi itatupwaje wakati haijawahi kusikilizwa??nachojua mimi kama mawikili wakijitoa unapewa muda wa kutafuta mawakili wengine!hayo mawazo yako yapeleke kwingine si J.F
 
Ni kweli kesi imetupiliwa mbali leo hii. Hizi ni habari za uhakika kabisa. Source ni Peter na Ally. Nimeongea nao wote. Na kama hutaki basi unaacha.
 
Ij
Kuna taarifa kuwa kesi ya uchaguzi Kigoma mjini kati ya Ali Mley Cdm na Peter Serukamba CCM imesimama baada ya mwakili wa mdai kujitoa kwenye kesi wakilalamikia upendeleo wa jaji kwa wadaiwa,wakamtaka jaji ajitoe nayeye akagoma ndio wao wabwaga manyanga............wadau mlio Kigoma tupeni updates
Mkuu haijasimama ila imetupiliwa mbali leo hii.
 
Ni kweli kesi imetupiliwa mbali leo hii. Hizi ni habari za uhakika kabisa. Source ni Peter na Ally. Nimeongea nao wote. Na kama hutaki basi unaacha.

Ok,kama umeongea nao wote,basi itakua ni kweli mkuu,nilimbishia jamaha kwa kua nakumbuka niliongea na Mleh january akaniambia ngoma itaanza kuunguruma march,sasa na kwa vile sikuisikia ikitajwa sana,nikajua ndo imeanza kuunguruma juzi,pengine wameamua kuyamaliza nje ya mahakama au kesi haina merritt,ngoja nitacheck na Ally jioni ya leo!asante mkuu
 
serikali haina pesa za kuendesha chaguzi ndogo, hakuna kesi itakayo shinda, wabunge wote watabaki kama walivyo sasa
 
Ok,kama umeongea nao wote,basi itakua ni kweli mkuu,nilimbishia jamaha kwa kua nakumbuka niliongea na Mleh january akaniambia ngoma itaanza kuunguruma march,sasa na kwa vile sikuisikia ikitajwa sana,nikajua ndo imeanza kuunguruma juzi,pengine wameamua kuyamaliza nje ya mahakama au kesi haina merritt,ngoja nitacheck na Ally jioni ya leo!asante mkuu
Ok Mkuu check naye. Mawakili wa Ally walijitoa na leo jaji akaamua kuifutilia mbali. Nimeongea nao kwa kifupi tu kujua hali ikoje. Sijajua kama Ally atakata rufaa ama la; sikumuuliza hilo
 
Ile kesi imetawaliwa na mizengwe mingi sana....Hapa ndipo tunapoona sisiem wanavyojitahidi kukandamiza demokrasia Tz ili mradi wale wanaowaabudu wanaendelea kula bata. Kwa kweli ni upuuzi mtupu.
 
Ok Mkuu check naye. Mawakili wa Ally walijitoa na leo jaji akaamua kuifutilia mbali. Nimeongea nao kwa kifupi tu kujua hali ikoje. Sijajua kama Ally atakata rufaa ama la; sikumuuliza hilo

Ok,ila ni bora aendelee na u tutor wake tu O.U mpaka 2015,maana bado 3 years tu,na im sure 2015 kama atapitishwa tena basi ataibuka kidedea,rufaa sometime tena hizi za civil zinachukua muda sana!
 
Ali mley wa chadema anaendelea kupambana na peter serukamba wa ccm kesi hii hairipotiwi na magazeti na haipati msukumo wa cdm;ila kijana mley bado yupo vitani leo kesi ilikuwa mahakama ya rufaa Dar es Salaam; kusikiliza pingamizi la ccm dhidi ya maombi ya Mley kutaka mahakama ya rufaa ifanyie marejeo maamuzi ya jaji Ester Mugasha kuifuta kesi mahakama kuu baada ya Mley na wakili wake kumtaja jaji huyo ajitoe kusikiliza kesi hiyo kwa madai ya kumpendelea Peter Serukamba.

Peter Serukamba wa ccm ameweza kudhibiti kabisa habari za kesi hii kutoka katika vyombo vya habari

mahakama ya rufaa itatoa maamuzi kwa njia ya pingamizi la CCM kwa njia ya notice

source nilikuwa maeneo ya mahakamani na kupata brief kutoka kwa Ali Mley wa Chadema
 
Kesi ya Uchaguzi Kigoma mjini imeendelea leo katika mahakama ya rufaa kwa kusikilizwa pigamizi la Peter Serukamba wa CCM dhidi ya maombi ya Ali Mley wa CDM kutaka mahakama ya rufaa ifanyie marejeo maamuzi ya Jaji Ester Mugasha kuifuta kesi hiyo baada ya Ali MLEY na wakili wake kumtaka jaji huyo ajitoe kwenye kesi kwa madai ya upendeleo kwa CCM.

Source nimepata brief kwa ALI MLEY wa CDM
 
Back
Top Bottom