Kesi ya Ridhiwan against Dr. Slaa na Mtikila

@ Dr.slaa

je ikitokea kuna ushirikiano wa mali baina ya rizwan na rais wa Tanzania , nini utakuwa msimamo wako juu ya jambo hili?

note:mali hizo ziwe hazijatokana na njia safi.


 
@ Dr.slaa

je ikitokea kuna ushirikiano wa mali baina ya rizwan na rais wa Tanzania , nini utakuwa msimamo wako juu ya jambo hili?

note:mali hizo ziwe hazijatokana na njia safi.



Wewe unashauri iweje?? Maana sio kila swali lazima Slaa alijibu.
 
Sehemu kubwa ya mada tunazoendelea nazo naona zimejaa gilba na roho wa fitina, wivu nashauri tujirekebishe kama jukwa la wataalamu/watafiti wa mambo tuje na scientific argument. angalia issue ya general shimbo kakutwa na a/c ya shs 3/= tirion na mara kahojiwa na kwa sasa kapigwa stroc kitu ambacho ni uongo mtupu. HIVYO HATA HILI R1 UONGO MTUPU KAMA KWELI TUICHE MAHAKAMA IFANYE KAZI. MTIKILA NA HUYO MWENZIE WAKATHIBITISHE MAHAKAMANI
Mtaje uyo mwenzie ni nani. Unaogopa kutaja jina la Simba wa Tanzania?
 
Ridhiwan haogopi mtu. Anachofanya ni kuvuta muda kwasababu ana vitu vingi anataka kulipua. Kama hamna taarifa ulizeni.
Umma wa watanzania uliodhulumiwa na serikali ya baba yake unamsubiri kwa hamu amalize huo muda anaovuta ili ukamvue bukta na kumwacha mtupu huko mahakamani. Nadhani huo ndiyo utakuwa mwisho wa kejeli na uhayawani tuliotendewa na wahuni na vibaka hawa.
 
Jamani siku nyingine someni magazeti ya Kiingereza. Mbona Ridhuani alishafungua kesi mahakamani ya madai dhidi ya Dr. Slaa na Rev. Mtikila kama wiki tatu zimepita sasa. The Citizen iliandika hii habari.
Ndio maana nikasema hapa tunachezewa kiini macho.....Dr Slaa na Mtikila walisema wana ushahidi nao wakakaa kimya...haya naye tukaambiwa Riz amefungua kesi mahakamani.....nako mahakamani kimya.

Kila siku tunanyweshwa ufisadi na sisi tunaendelea kuunywa na kuahribu matumbo yetu......hakuna anayewajibishwa.......ndio maana nikasema hizi ni siasa uchwara watu kujishindia magoli tu......

 
Ridhiwan haogopi mtu. Anachofanya ni kuvuta muda kwasababu ana vitu vingi anataka kulipua. Kama hamna taarifa ulizeni.
<br />
<br />
Unafikiri kwa kutumia makalioa yako hayo mawili,ww ni sehem ya mafisadi wa tz haingii akilini ati useme ana vitu vingi anataka kulipua,vp hvyo uvijuavyo ww? Kuweni na aibu na maneno muyasemayo na hao wenzio ambao mnafikiri kwa kutumia makalio hayo
 
Sina usemi zaidi. Kikwete na iriziwani sometime next year!
mubarak-sons.jpg


mubarak-trial.jpg
 
Jibu hoja kama una maslah na huyo ****** jr hela za vituo vya kuuzia mafuta (lake oil),kusafrisha mafuta nchi jirani (congo na zambia),masemi trailer 100,yard za magari n.k kazipataje huyu mwendawazimu kwa muda wa miaka michache hyo? kwa kuwa unaingilia suala lisilokuhusu tuambie bas we fox (mbweha)

Mkuu umesahau anamiliki ma lori kibao ya kubebea mawe na mchanga,haya mengi yapo iringa ambapo amenunua hekari kibao anachimba mawe na mchanga,majengo yote tenda kashika yeye maeneo hayo,pia ana kampuni ya IT anasupply stationary,repair printer&computer anaingiza billions of money kiujajnja ujanja,peni 1 invoice yake hadi buku 8.......
 
jamani tumechoka maandamano, tufanye kazi kwa maendeleo ya taifa letu changa. Kila siku kuandamana tu, halafu nchi ikidumaa mnaanza kuitupia lawama CCM
We radhia,nchi imedumazwa na JK na huyo swetie wako pamoja na genge lao la magamba.usipotoshe watu.
 
Back
Top Bottom