Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,872
- 1,312
unajua maana ya hacking?Wamfunge tu mbona ushahidi wa jamhuru umeenyooka hivyo. Kuliko hata ule wa Sabaya wa kuunga unga naa gundi. Kama hii kesi ni ya uwongo niamini kesi ya namna gani. Technologia aidanganyi bhana
Mnasumbua tu mahakana