Dialysis
JF-Expert Member
- Sep 22, 2021
- 325
- 675
Yaani kila nikipata nafasi ya kukwepa KODI ya serikali nitafanya hivyo.Haiwezekani nikupe Kodi inayoenda kuharibiwa hivi.Yaani nimeumia yule Shahidi ANITHA (Muuza Mbege) kuja Dsm ana Kula na kunywa bure kule MASAKI Kwa Kodi yangu halafu anakuja kutoa ushahidi wa Uongo.hawa askari walikuwa wanatunga hadithi ambayo ilikosa uhariri......project ya hovyo kabisa....kibaya sana WANACHEZEA FEDHA ZA WANANCHI WAZI WAZI.....TUNAKATWA MITOZO wanachezea fedha kulipana lipana kwenye kesi ya maigizo