Kesi ya kupinga ubunge wa Mwakyembe yafunguliwa Mahakama Kuu, Kanda ya Mbeya

Ninaona historia akienda kujirudia tena!

Kama Magufuli atafanya makosa na kumteuwa Mwakyembe kuwa Waziri Mkuu. Basi yale yaliyomkuta Judge Warioba 1990 yanaweza kujirudia tena.

Judge Warioba alishinda ubunge wa Bunda na hatimaye kuwa Waziri Mkuu wa SJMT.

Mshindani wake wakati huo chama kimoja akafungua kesi mahakamani ya kupinga ushindi wa Judge Warioba.

Mahakama ikatengua ubunge wa Judge Warioba na automatically akavuliwa u-Waziri Mkuu.

Ikabidi Mzee Rukhusa achague tena waziri mkuu mwingine.

Nahisi Magufuli na Mwakyembe wanakwenda kuandika tena historia hiyo.
Hizi ndizo mbinu zinazo taka kusukwa hapa, uzuri wa Dk.Magufuli hawezi kubabaishwa na ujinga wa watu wachache wenye wivu wa kijinga na roho mbaya,Dk.Magufuli ata appoint mtu yeyote ambae atamuona anafaa bila ya kujali fitina za watu wachache.
 
Bukyanagandi,

..lakini huyu Dr.Mwakyembe ni mtu wa ajabu-ajabu kidogo.

..kwanza, ni mtu mwenye dharau sana, akijiona yeye ni msomi kuzidi watu wote.

..pili, ni mtu ambaye anaweza kusema na kufanya lolote lile ili mradi apate huruma ya wananchi na kuongeza mtaji wake wa kisiasa.

..sijui kama unakumbuka vituko alivyokuwa akifanya akidai kwamba ajali ya gari aliyopata ilikuwa ni jambo la kupangwa. alizua mambo mengi ikiwa na madai kwamba kuna magaidi ya al-shabaab ambayo yametumwa kuja kumuua.

..kama hiyo haitoshi akazua tena kwamba amelishwa sumu. wakati akiugua alikuwa akizunguka makanisani na madai hayo ya kulishwa sumu. baadaye serikali aliyokuwa akiituhumu ikampeleka India kwa matibabu na aliporudi hakutaka tena kuzungumzia suala la kulishwa sumu na ugonjwa unaomsumbua.

..kwa upande wangu nitafarijika kama Dr.Magufuli atafungua ukurasa mpya kwa kuteua mawaziri waadilifu wasiofanya siasa za ubabaishaji.

cc Bulesi
 
Last edited by a moderator:
Mwakyembe alishinda kiuhalali na hilo linafahamika tatizo inayoshabikia humu ndani haikai kyela etii ccm hamna wasafi kwani hao waliohamia kwenu wametoka vyama gani?hao mnaowaabudu akina LOWASA walikuwa vyama gani?mnajitukana mwenyewe.kumbukeni ili hakuna na hatokuwepo wa kitengua matokeo ya mwakyembe mnajisumbua Sana

Hapa wanajipanga kutafuta mCCM mwingine wa kupeta naye mwaka 2020 wakishamchafua wanafikir atakubali wamsimamishe kama mgombea raisi wa UKAWA
 
Mwakyembe alishinda kiuhalali na hilo linafahamika tatizo inayoshabikia humu : ndani haikai kyela etii ccm hamna wasafi kwani hao waliohamia kwenu wametoka vyama gani?hao mnaowaabudu akina LOWASA walikuwa vyama gani?mnajitukana mwenyewe.kumbukeni ili hakuna na hatokuwepo wa kitengua matokeo ya mwakyembe mnajisumbua Sana

Kumbe upo mpaka huku mkuu..?
Huyo boss wako mfalme juha hakutakiwa hata kuwa diwan kule Kyela..ndio maana alikimbilia kuifanyia fitina Kyl fm ili watu wasipate habari za uozo wake.
Nasikitika hili la kumfungulia mashtaka linaweza kumtia doa towards ndoto yake u_PM.

Sijui kitu so far.....
 
Inasemekana kuwa Mwakyembe wala hakulishwa sumu bali ana maradhi ya kudumu[ chronic disease] sometimes known as "EXISTING CONDITION" .Alikuwa anatafuta mileage ya kisiasa; for more information contact Hon. Kubenea!!!
Duh ! Eee bhana eeee !!
 
Hizi ndizo mbinu zinazo taka kusukwa hapa, uzuri wa Dk.Magufuli hawezi kubabaishwa na ujinga wa watu wachache wenye wivu wa kijinga na roho mbaya,Dk.Magufuli ata appoint mtu yeyote ambae atamuona anafaa bila ya kujali fitina za watu wachache.
Hii ni hoja ya kijinga sana ! Yaani mwanyamaki akubali kudhulumiwa kisa kuna mtu anataka cheo ? Hiyo kitu haitawezekana mjomba .
 
Mwakyembe alishinda kiuhalali na hilo linafahamika tatizo inayoshabikia humu ndani haikai kyela etii ccm hamna wasafi kwani hao waliohamia kwenu wametoka vyama gani?hao mnaowaabudu akina LOWASA walikuwa vyama gani?mnajitukana mwenyewe.kumbukeni ili hakuna na hatokuwepo wa kitengua matokeo ya mwakyembe mnajisumbua Sana
Lowassa syndicate in action!!!
 
Hakuna lolote! Hili la Mwakyembe linasukumwa na Lowassa kumharibia Mwakyembe kwa kudhani labda ataukwaa uwaziri mkuu.
 
Du hpo kma ni u pm kashs ukosa ingawa yule jamaa nikijembe kisicho kubarika kwenye jimbo lake sasa pm ni mihogo ingawa alitolewa kwa kashfa.
Mje na jimbo la kwera nako ni gori la mkono likisaidiwa na kucha maana dogo kashinda ila katsngazwa wa ccm vilevile na sumbawanga mjini katibu wa chadema kata ya ntendo aliuza matokeo kea tsh 4mil zilizo feki
We need justice
 
SIasa za Tanzania sasa zinaanza kwenda mrama. Tunataka bungeni wajae watu wetu tu bila kujali uwezo wao. Mtu yupo tayari kuona Kafulila anakosa bungeni kuliko Chenge au Anna Kilango anakosa bungeni kuliko Prof Jay! Tuangalie tija kwa taifa na nafasi ya bunge kwa maisha ya watu wa kawaida!
Ndio maana uliona CCM wakimkataa naibu mwanasheria mkuu kuwa Spika au UKAWA wakisimamisha Sakaya Kumzuia Tulia. Kwa sasa naona hatuangalii uwezo tuanaangalia nani anafanya nini?
 
Kingine ni kwamba wagombea wote wa cdm waliopeleka kesi za kupinga matokeo mahakani wabadili nyendo zao na waongezewe ulinzi , tahadhari ni muhimu sana .

Mkuu Tanzania sio nchi ya kuishi. Polisi kutokana na mishahara duni wamehusika sana kwenye mauaji ya kushtukiza. Nipo na jamaa yangu aliniambia kama upo na M 5 shughuli ya kumwakilisha usiye mpenda kwenye divai ya yesu ni jambo la siku moja. Sasa m 5 ambazo ni hela za kuhonga kimada kwa siku moja zina mrudisha mtu tumboni mwa mamaye Tanzania huoni kwamba ni hatari sana.
 
Bukyanagandi,

..lakini huyu Dr.Mwakyembe ni mtu wa ajabu-ajabu kidogo.

..kwanza, ni mtu mwenye dharau sana, akijiona yeye ni msomi kuzidi watu wote.

..pili, ni mtu ambaye anaweza kusema na kufanya lolote lile ili mradi apate huruma ya wananchi na kuongeza mtaji wake wa kisiasa.

..sijui kama unakumbuka vituko alivyokuwa akifanya akidai kwamba ajali ya gari aliyopata ilikuwa ni jambo la kupangwa. alizua mambo mengi ikiwa na madai kwamba kuna magaidi ya al-shabaab ambayo yametumwa kuja kumuua.

..kama hiyo haitoshi akazua tena kwamba amelishwa sumu. wakati akiugua alikuwa akizunguka makanisani na madai hayo ya kulishwa sumu. baadaye serikali aliyokuwa akiituhumu ikampeleka India kwa matibabu na aliporudi hakutaka tena kuzungumzia suala la kulishwa sumu na ugonjwa unaomsumbua.

..kwa upande wangu nitafarijika kama Dr.Magufuli atafungua ukurasa mpya kwa kuteua mawaziri waadilifu wasiofanya siasa za ubabaishaji.

cc Bulesi

Mkuu JokaKuu, umenikumbusha baadhi ya vitu ambavyo nilivisahau kidogo!!
 
Mkuu JokaKuu mimi mwenyewe niliingia mkenge nikaamini maneno ya Dr kumbe alikuwa na mipango yake ya muda mrefu na hivi kaukosa uPM sijui atazusha nini tena wizara ya uchukuzi alivurunda kweli kweli.

Bukyanagandi,

..lakini huyu Dr.Mwakyembe ni mtu wa ajabu-ajabu kidogo.

..kwanza, ni mtu mwenye dharau sana, akijiona yeye ni msomi kuzidi watu wote.

..pili, ni mtu ambaye anaweza kusema na kufanya lolote lile ili mradi apate huruma ya wananchi na kuongeza mtaji wake wa kisiasa.

..sijui kama unakumbuka vituko alivyokuwa akifanya akidai kwamba ajali ya gari aliyopata ilikuwa ni jambo la kupangwa. alizua mambo mengi ikiwa na madai kwamba kuna magaidi ya al-shabaab ambayo yametumwa kuja kumuua.

..kama hiyo haitoshi akazua tena kwamba amelishwa sumu. wakati akiugua alikuwa akizunguka makanisani na madai hayo ya kulishwa sumu. baadaye serikali aliyokuwa akiituhumu ikampeleka India kwa matibabu na aliporudi hakutaka tena kuzungumzia suala la kulishwa sumu na ugonjwa unaomsumbua.

..kwa upande wangu nitafarijika kama Dr.Magufuli atafungua ukurasa mpya kwa kuteua mawaziri waadilifu wasiofanya siasa za ubabaishaji.

cc Bulesi
 
Last edited by a moderator:
Tatizo minyakyusa n mijitu ya kijinga Sana ingawa na Mimi n mnyaki but ukweli ninaongea
Jamani nani hajui kuwa mwakyembe ameshinda kiuhalali?tatizo n kuwalaghai wanakyela ionekane ameibiwa jaman huyu mwanyamaki alisema kuna kata zmeongezwa lakini mahakaman hajaongea hvyo kasema tume haiamini anaomba ufutwe uchaguzi uanze upya kisa etii matokeo yametangazwa wakat hayupo jaman ushabiki wa kipumbavu n umaskini mkubwa Sana yaani kyela sijui Kama tutafika minyakyusa poor are u
 
Na pia anapost anasema najua mahakama itampendelea mwakyembe sasa Kama unajua umeenda kufanya nini huko?nenda the hegue tatizo uroho wa madaraka wakati ukweli unaujua kuwa Harrison alishinda kwa haki na kweli
 
Mapovu yako hayatamuokoa mwakyembe , hati ya mashtaka umeiona au unaropoka tu ? Kwa taarifa yako tangu nianze kufuatilia kesi za uchaguzi sijawahi kuona kesi nyepesi kama hii .
 
Na pia anapost anasema najua mahakama itampendelea mwakyembe sasa Kama unajua umeenda kufanya nini huko?nenda the hegue tatizo uroho wa madaraka wakati ukweli unaujua kuwa Harrison alishinda kwa haki na kweli

Acha upotoshaji wewe! Hebu leta ushahidi wa Mwanyamaki kuhusu hayo unayoyasema, otherwise, No research, No right to speak.

Kama kweli wewe ni mnyakyusa wa Kyela basi ni shiiida, upo kishabiki na kwa maslahi binafsi. Ili Kyela iendelee, tunahitaji Mabadiliko ya kifkra, mfumo, uongozi na utendaji. Tuachane na MAZOEA.
 
Back
Top Bottom