Junius
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 3,181
- 139
Mahita Ngungurii ww!!Kwa mazingira gani huyu msichana wa kazi aliipata mimba? Alibakwa au kwa hiari yake mwenyewe?
Kaenda kufanya kazi za ndani nyumbani ndio hadi za ndani chumbani!!!!
Mahita Ngungurii ww!!Kwa mazingira gani huyu msichana wa kazi aliipata mimba? Alibakwa au kwa hiari yake mwenyewe?
Kaenda kufanya kazi za ndani nyumbani ndio hadi za ndani chumbani!!!!
kaka,hiyo kesi haijaanza leo,kwa jinsi ushahidi ulivyokuwa unatolewa na huyo binti pamoja na mahita jinsi alivyokuwa anajitetea utaona kabisa kuwa mahita ndie baba wa mtoto.
mahita aliiomba mahakama iyatupe hayo mashtaka lakini mahakama ilipomwambia achukuliwe DNA ili wakate mzizi wa fitina mahita akachomoa kuchukuliwa,sasa mahita ana uhakika kuwa yule mtoto si wake na anataka hiyo kesi iishe kwanini asikubali kuchukuliwa DNA?TAFAKARI
Kama anajijua si baba si akubali DNA tu, tatizo liko wapi?
Kabisa, akubali DNA na yaishe. Mambo ya kurefusha kesi wakati ukweli unaweza kupatikana kirahisi inaboa.
Inawezekana kuna mrundikano wa kesi zingine kibao hazisikilizwi wakati yake sijui raundi ya ngapi hii..
Mahita kubali DNA ujue unasimama wapi!..
Alhaji anaona akikubali AMEADHIRIKA..kwi kwi kwi kwi
jamani samahani mimi sina records nzuri juu ya hii kesi,
HIVI MAHITA ALIBAKA?
Hii kesi ina udini tu ,mbona CUF walipomfungulia mashtaka hawakumfanya kitu ?
Achana na mdini huyu. Hawa ndio wametukimbiza kafu. Wadini watupu. Kila akikosa mwislamu kaonewa.Mkuu udini wapi sasa? Au kila kitu ni udini? Sasa CUF chama cha Kiislamu mpaka ulalamike ni udini hawakumfanya kitu alipo shitakiwa na CUF? Please let's not turn into things they are not. Au wewe unataka ashitakiwe na nani ndiyo uone hakuna udini?
Alikuwa anakula nyama ya hamu wakati huyu mtoto wa kike akiwa housegirl, kutegemea na statutory rape laws za Tanzania na miaka ya huyu mwanadada aliyokuwa nayo then (anaonekana mdogo bado na huyu mtoto mkubwa) inawezekana kabisa kwamba at the very least ilikuwa statutory rape.
We unafikiri Mahita anayoogopa madogo.
Lakini utasikia, hawawezi kumgusa, na hata hiyo DNA labda waifanyie nje ya nchi, ikifanyiwa bongo inaweza kuwekwa sawa majibu tu.
Pengine Mahita hajafanya hasa hayo mambo lakini, Mw'Mungu anamfedhehesha tu kutokana na ubabe na uhuni na mauwaji ya watu wasio na hatia alipokuwa IGP
Dada WoS uko right ni Mungu tu anataka kumuumbua kwa kumdhalilisha mkewe na huyo mfanyakazi wake, kwasababu haiingiii akili mtu mwenye nyadhifa kama yeye kukubali kudhalilishwa mpaka mahakamani kisa eti ni kutoa matunzo tu? hela ngapi za ufisadi amejilimbikizia jamani? how much does it take to rise a kid in Bongo jamani?am sure wakati huo hata angemwambia huyo mama atampa laki tano kwa kila mwezi za matumizi angeziona nyingi kwa maisha ya bongo, en what is lakini tano kwa mahita kwa mwezi plus ufisadi? SO NI MUNGU ANAMUUMBUA NA MIE NAMUOMBEA AZIDI KUMTOKOMEZA.Polisi ndio wanatakiwa kusimamia haki, kulinda raia na mali zao.Polisi wanatakiwa kuwa mfano wa raia mwema, mtiifu na mfuata sheria.Mahita alikuwa ndio Head prefect - sijui alikuwa mfano gani wa kuigwa?
Katika hili suala, kama kawaida tutasikia kuwa ati shetani naye alimpitia, hadi akamwona binti wa ndani ( hawa nawaona kama sehemu ya familia) naye anafaa kujitwalia kwa starehe zake binafsi na kumdhalilisha mama watoto wake maana naamini upuuzi huo ulikuwa ukifanyika humohumo ndani mwao na si ajabu kwenye matrimonial bed! Alhaj mzima bila haya kumvulia na kumvua mtoto mdogo yule! Wacha aumbuke sasa.
Tukija upande wa sheria, sasa hivi DNA ndio njia murua na ya uhakika kujua kama mtoto yule ni wa Mahita au la.Kama mtoto ni wake basi sheria mbona iko wazi? Lazima awajibike kutunza mtoto... anataka nani amtunzie?
Hayo ya Statutory Rape - kama binti alikuwa chini ya miaka 18 wakati kitendo kinafanyika hata kama binti alidanganyika akatoa penzi haijalishi. Angestahili mvua 30 kama wabakaji wengine!...Je ni kweli watu wote ni sawa mbele ya Sheria? Ofcourse not!
Dada WoS uko right ni Mungu tu anataka kumuumbua kwa kumdhalilisha mkewe na huyo mfanyakazi wake, kwasababu haiingiii akili mtu mwenye nyadhifa kama yeye kukubali kudhalilishwa mpaka mahakamani kisa eti ni kutoa matunzo tu? hela ngapi za ufisadi amejilimbikizia jamani? how much does it take to rise a kid in Bongo jamani?am sure wakati huo hata angemwambia huyo mama atampa laki tano kwa kila mwezi za matumizi angeziona nyingi kwa maisha ya bongo, en what is lakini tano kwa mahita kwa mwezi plus ufisadi? SO NI MUNGU ANAMUUMBUA NA MIE NAMUOMBEA AZIDI KUMTOKOMEZA.
Polisi ndio wanatakiwa kusimamia haki, kulinda raia na mali zao.Polisi wanatakiwa kuwa mfano wa raia mwema, mtiifu na mfuata sheria.Mahita alikuwa ndio Head prefect - sijui alikuwa mfano gani wa kuigwa?