ukifuatilia mtiririko wa maelezo ya kesi, hilo jambo la 'kutumwa kuua' halikujengewa hoja, hivyo halipo (mtazamo wangu). Hata hivyo najiuliza motive/drive ya kuua kwa makusudi ni nini haswa ? Kwani hakuna sehemu (kulingana na mwenendo) ambayo imetajwa/onyeshwa kuwa Mume na Mke walikuwa na mahusiano mabaya (ugomvi) !Wakati mwingine sijui akili huwa tunapeleka wapi! yaani kweli uambiwe umwuue mkeo nawe ukubali tuu!