Kesi ya Babu Seya vipi?

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
Jamani mwenye kufahamu hukumu kesi ya Babu Seya ama muendelezo wa rufaa aliyokata kuhusu hukumu ya kifungo cha maisha aliyopewa.

Naomba anijulishe.
 
Nina imani huna mtoto,ungekuwa naye usingeuliza,unless una interest na watu hawa,pity
 
Makahakama ya hakimu mkazi kisutu walifungwa maisha, wakakata rufaa makahama kuu lakini rufaa yao ikakataliwa. Wakaenda mahakama ya rufaa ambayo ndio ya mwisho kwa mfumo wa mahakama tz nako rufaa yao ikitupwa isipokuwa yule mtoto wake aliachiwa nadhani kwa vile wakati anabaka alikuwa under 18 hivyo kuchukuliwa kama mtoto kwa sheria zetu na za kimataifa. Baada ya hapo ndio ikawa baaasi. Lakini baadaye mahakama ya haki za binanadamu iliyoundwa na bara ya Afrika ipo Arusha kwa bahati ikaanza kazi, rais wa mahakama hiyo ni jaji wetu mkuu aliyewahi tamani kumrithi JK lakini alikatwa accordingly. Nasikia wamekata rufaa kwenda huko. Lakini bahati mbaya hiyo mahakama haiwezi waachia kwa sababu kwa mujibu wa mkataba wa uanzishwaji wake huwa inaishia kushauri tu.
 
Baba na wanae kukubaliana kushare wanawake..Inashangaza..

Baba na wanae kukubaliana kumnjunja mwanaume mwenzao..Ni kosa

Baba na wanae kukubaliana kumbaka binti mdogo wa kike..Kosa lenye makosa

Lakini baba na wanae kukubaliana kuwalawiti watoto wadogo wa kiume..Kosa kubwa lenye makosa..Inashangaza sana..Sometimes ni ngumu hata kuamini..
 
Chidumule alishatoa ushuhuda baada ya kuokoka kuwa kwenye mziki wa dansi kuna ushirikina wa kutisha. Usikute wa akina Babu Seya walikuwa wanatimiza mashariti ya sangoma.
 
Chidumule alishatoa ushuhuda baada ya kuokoka kuwa kwenye mziki wa dansi kuna ushirikina wa kutisha. Usikute wa akina Babu Seya walikuwa wanatimiza mashariti ya sangoma.
kwa asilimia kubwa hapa ni ushirikina aisee..Japo wapo wanaosema hawa jamaa walikuwa wanatengeneza video zen wanaenda kuziuza nje
 
Back
Top Bottom