Kesi Mgombea Binafsi yazidi kunoga

Ochu

JF-Expert Member
May 13, 2008
975
47
wakati kesi ya mgombea binafsi inategemewa kuskilizwa tarehe 8 April mbele ya majaji saba mahakama imemteua DPP wa Zanzibar bwana Othman Masoud kuwa rafiki wa mahakama. rafiki huyu mpya ataungana na wengine wawili waliteuliwa mwanzoni Prof. Palamagamba Kabudi na Prof. Jwani Mwaikusa....naona mahakama inaipa kesi uzito unaostahili....
 
Na mimi ngoja niwe Mtabiri ama!!! Na utabiri wangu huu hapa.

"Uchaguzi mkuu utachelewa kwa sababu ya hii kesi!"
 
dalili za ushindi.............hawa ma-Prof wakinshindwa kudadavua basic staff like that..........itabidi sisi tudadavue upeo wao............
 
Tunapoteza muda na fedha kwenye hii kesi kwa mwaka huu.Hakuna kitu kinachoitwa mgombea binafsi katika uchaguzi wa kwaka huu..Tusubiri tu next elections,may be kwenye by election kama zitatokea.
 
yap, hapo patamu. Kwani hao weledi watatupa au kuendeleza jurisprudence ya sheria katika suala hilo hapa nchini hata kama utekelezaji wake hautafanyika mwaka huu. Lets wait and see
 
Back
Top Bottom