kesho ni kesho,asiye na mwana.........

Status
Not open for further replies.
Heri yetu ambao hatuna timu....tunakaa na kuenjoy kila anayepiga bao...isipokuwa kama ni wale jamaa wenye pyepyepye na wepesi wa kuchonga (Na ushetani wao mwekundu)!!

Babu DC!!
 
aaaaaah....visingizio tele ndo vitaanza..kitu kdg tu 'nilikuwa savannah naangalia mpira'
Dada HEART unafikiri hata itakuwa inasimama? ni kilaji cha Safari Lager na Luninga tu, usiombe Man-U tukifungwa ndio hata usinisemeshe wiki nzima mpaka ntakaporudi Savannah tena kutafuta ushindi
 
Heri yetu ambao hatuna timu....tunakaa na kuenjoy kila anayepiga bao...isipokuwa kama ni wale jamaa wenye pyepyepye na wepesi wa kuchonga (Na ushetani wao mwekundu)!!

Babu DC!!
mugurusi,msimu wa sekeseke,timbwili,kasheshe,olushengo,okuharangatana ndo unaanza kesho! Subiri kesi.
 
Ooh! All the best kwa the blues.lakini na nyie wanaume kwan mnashindwa nn kuangalizia mpira nyumbani? Anyway naendelea kuwatakia chelsea kila la kheri.
 
Ooh! All the best kwa the blues.lakini na nyie wanaume kwan mnashindwa nn kuangalizia mpira nyumbani? Anyway naendelea kuwatakia chelsea kila la kheri.

Kuangalia nyumbani inaboa big time.
 
aeleke jiwe.
Pyeeeeeeeeee kipenga premier league England kinalia,ndo kipindi sawia chetu kinababa kuganda kwenye luninga,iwe bar iwe nyumbani.Katika hili kinamama tulieni msitubughudhi na tukichelewa msituulize,jueni tulikuwa tunaangalia mpira.Swali la nyongeza?
Hahahah! na akina mama wanazitumia vema sana dakika 90 ambazo wababa wanakuwa live kwenye TV...lol
nahisi akina mama wanafurahia hii kitu!
 
Kweli Bishanga wewe ni adict, kinara na nguli wa MMU.
Sasa hii sredi
yako inahusiana vipi na MMU?
Inahusika sana tu!yani sana kuliko unavoweza kufikiri,
-ndo muda wa watu kudanganya home kuwa wako mpiarni kumbe hawapo huko,
-ndo kipndi cha wengine kupanga appointment wakijua mume yupo kwenye mpira,n
-ndo kipindi cha wanandoa kutokutafuat usingizi pamoja,manake mmoja yupo mpirani mwingine katangulia kulala,
-ndo kipindi cha watu kununiana kisa wako timu tofauti,.
-ndo kipindi cha waume zetu libido zao kushuka kila timu zao zinapofungwa
-ndo kipindi tunapoanza kuwalisha viporo au vyakula vilivyopashwa na microwave
-ndo kipindi wale wenzetu wa chama cha upinzani (NJE CUP)wanapochukua maujiko wakijifanya hawajali waume zetu kukaa bar mpaka usiku wa manane manake wanakua nao na sisi tumewanunia
-ndo kipindi cha mahousegirl kuachiwa kufungua milango na mageti usiku manake siye tumenuna na kuacha maagizo kabisa "ukisikia babako anagonga uamke kufungua"
BASI MRADI MAMBO MENGI TU!
 
Watu pipooooo!! na hivi mashetani tumemchukua RVP, gunners kwisha kazi!! nitakuwa bega kwa bega na mchuchu kwenye EPL maana wote tunapenda soccer...tatizo kubwa tupo timu tofauti!! Akiwa na washkaji siku nyingine ni byee tu, VIZA anapata 24hours bila kumsumbua.

Halafu nahisi wewe kama Arsenal, khe khe

Tutawakanyaga vizuri sana,vidomo domo vitaisha!hapo kwa timu tofauti asije tu akawa Liverpool....lol

mbwembwe zako nikajua lazima ni walewale ''vikombeless'' asenale..he he!!

Hahahaaaa nimeipenda hii BelindaJacob
 
Last edited by a moderator:
Tutawakanyaga vizuri sana,vidomo domo vitaisha!hapo kwa timu tofauti asije tu akawa Liverpool....lol
Nani kakuruhusu uitamke timu ya WANAUME bila heshima? Ntakutwanga talaka Yummy!!
 
Last edited by a moderator:
Nani kakuruhusu uitamke timu ya WANAUME bila heshima? Ntakutwanga talaka Yummy!!

Sasa naona wewe mme wetu unaanza jeuri za kipuuzi kisa tu unatafuta kisingizio cha kwenda kuwalala mabaamedi vizuri msimu huu wa mpira.............haya kazi kwako mie niko tayari kuipokea.
 
Wakati wa nyumba ndogo kunufaika. Wakati wa kurudi home tukumbuke kuuliza matokeo na matukio muhimu ya mechi kwa ajili ya kutoa taarifa nyumba kubwa, ha ha ha. Siyo muage mnaenda kucheki mechi na muishie nyumba na kurudi hata matokeo hamyajui
 
hahahahah lol! haltfime unaweza ukajirusha kwa raha zako - chap chap kunasa :):)
Baba nanihii leo tumealikwa kwa akina nanihii...hapana we nenda tu waambie mie sijisikii vizuri. Hujisikii vizuri au unaangalia mpira? Haya waambie baba nanihii anaangalia timu yake ya Arsenal inacheza leo hivyo ameshindwa kuja :):)

Back
Top Bottom