Kesho ndo watu watajua kuwa waarabu wana figisu figisu ya kufa mtu kwenye mechi ya Misri Vs Cae Verde

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,664
18,040
Misri haitakubali iishie kwenye hatua ya makundi wakati itakapokutana na Cape Verde. Hadi sasa Misri ina pointi 2 tu kwenye mechi zake mbili. Kesho ikifungwa itakuwa imeyaaga mashindano!! Kesho waarabu watakuambia KAMA MBWAI NA IWE MBWAI, watafanya lolote linalowezekana hata kama ni kulazimisha penati, na chochote kingine!! Nina uhakika watapambana nje ya uwanja na ndani ya uwanja ili maadam tu watoboe!!
 
Cape Verde hawatoka nguvu kubwa, hata wakifungwa still wanaongoza kundi.
Wanajiandaa na mtoano.
 
Cape Verde watakuwa wa ajabu sana kama hawatawapumzisha wachezaji wao tegemeo, labda na hao watakaopewa nafas nao waamue kuwakazia mafarao.
 
Misri haitakubali iishie kwenye hatua ya makundi wakati itakapokutana na Cape Verde. Hadi sasa Misri ina pointi 2 tu kwenye mechi zake mbili. Kesho ikifungwa itakuwa imeyaaga mashindano!! Kesho waarabu watakuambia KAMA MBWAI NA IWE MBWAI, watafanya lolote linalowezekana hata kama ni kulazimisha penati, na chochote kingine!! Nina uhakika watapambana nje ya uwanja na ndani ya uwanja ili maadam tu watoboe!!
Cape Verde huwa nawaelewa kama nilivyokuwa nawaelewa Hispania in 2000s years na ninavyowaelewa Mexico, ni muda tu utaamua ubora wao.

Ubinadamu kazi/Humanity is work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom