Kesho anaenda kutambulishwa kwa mama wa galfrd wake!

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Wakuu,kuna rafik yangu hapa,kesho anaenda kutambulishwa kwa mama wa galfrd wake,sasa anaomba ushauri wa jinsi kubehave huko,jins ya kudress etc.over
 
What is so special?Mbona hajauliza namna ya kubehave kanisan au msikitini?Aaaaarrrghggh!
 
Senetor ! Hiyo familia haina Baba? Hadi Mama ndiyo awe ameshikilia headin' tittle ? Au yupo lakini amefunikwa na Mama? Ingekaa vizuri kama "atambulishwa kwa wazazi/ukweni" napata wasiwasi Baba ya binti kuto'apear kwenye headin'.
 
kuna familia ambazo binti ana-date wanamme 231 na wote anawatambulisha kwa mama.
Familia za kitamthilia.
 
kuna familia ambazo binti ana-date wanamme 231 na wote anawatambulisha kwa mama.
Familia za kitamthilia.

Mukulu! Kongosho we ushatambulishwa? Kama bado unasubiri nini ? Na kama tayari ulitoa mualiko?
 
Tupia raba kali, suruali ya kitambaa shati la mikono mirefu, kichwani funga kitambaa
 
Hamna, chini piga timberland size 14, tafuta ka jinzi kale kembambaaa..tupia, usisahau kuning'iniza ile cheni kwa nyuma. Juu piga shati la draft, malizia na hereni. Nywele suka.
 
Hadi jinsi ya ku-behave kwa wakwe anakuja kukuuliza jamani...??!! Mmmh...jamaa yako hajiamini basi. Awe tu smart na mchangamfu...ila asiwe mchangamfu kupita kiasi. Huyo mama ni sawa na mama yake mzazi.
 
haya mambi nilikuwa nayaona kwenye 'The fresh prince of Bell Air'

wabongo kwa maigizo.......eti boyfriend anatambulishwa....what next?

mama kuwatambulisha watoto 'the guy anaye m date'?????
 
haya mambi nilikuwa nayaona kwenye 'The fresh prince of Bell Air'

wabongo kwa maigizo.......eti boyfriend anatambulishwa....what next?
mama kuwatambulisha watoto 'the guy anaye m date'?????

Utandawazi....mambo ya akina 'Kim Kardashian' na mengineyo.....full kuiga...ili mradi siku zinaenda..
 
Utandawazi....mambo ya akina 'Kim Kardashian' na mengineyo.....full kuiga...ili mradi siku zinaenda..

ni ujinga sana kwani kiafrika tunaishi kwa kutegemeana
kama mama amesema muite 'boyfriend wako nimjue' sana sana
wamejipanga kuanza kukuomba usaidie gharama za matunzo ya binti na mama pia....
sasa si bora uoe ujue moja?
hivi kuna mama wa kitanzania atakuacha 'umtumie' binti yake bure bure....???
uzungu hatuuwezi bado.......
wadada wangapi wa kitanzania wanaweza kukubali kwenda out na boyfriend na ku split the bill..????
mambo mengine tuyaache tu....
sisi kwetu dada akileta mwanaume....lazima tuwaulize 'mnaoana lini'???
 
Wachache saaanaa wanaokubali kusplit bill kwa kweli (ila mi naweza:biggrin:...)...hata hivyo sio nidhamu kwa mtoto wa kike kupeleka simply a boyfriend nyumbani,hata mila zetu haziiruhusu... Ila kila kitu kinatokana na malezi nyumbani. Wengine makwao sio ishu kabisaa hata kama sio kusaidia matumizi nyumbani,na wengine kama makwetu itatembezwa mikwaju kwangu mimi na boifriend wangu...#Itafahamika maharage ni mboga au futari.
 
Avae bikini! Atakuwa comfortable zaidi wakati anaongea na mama mkwe!
 
Back
Top Bottom