KERO ZANGU KWA Recruiting Agencies.

Mchaga

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
1,378
204
Wana Jambo Forum naomba kudadisi yafuatayo kuhusu kampuni wakala za kuajiri (RECRUING AGENCIES):

1. Kwanini wakifanya mahojiano na wewe hawakuelezi kama umefanikiwa au lahasha?

2. Kwa nini wanakuita kwenye mahojiano ilihali wakijua wana mtu wao (candidate) wanayemtaka...?

3. Kwa nini ukiwatumia CV hawajibu kama wameipata?

4. Kwa nini wanakubana sana katika mshahara KAMA VILE WAO NDIO WAAJIRI?

Jambo hili limenisumbua akili yangu kwa muda nimetoa dukuduku langa...
 
1. Kwanini wakifanya mahojiano na wewe hawakuelezi kama umefanikiwa au lahasha?
KWELI HICHI KITU INABIDI HAWA JAMAA WAANGALIWE SANA INAWEZEKANA KUNA KITU KINAJIFICHA HAPA

2. Kwa nini wanakuita kwenye mahojiano ilihali wakijua wana mtu wao (candidate) wanayemtaka...?
ILI KUPOTEZA USHAHIDI NA KUONEKANA KWELI WALIWAITA WATU WENGINE KATIKA INTERVIEW

3. Kwa nini ukiwatumia CV hawajibu kama wameipata?
INAWEZEKANA CV YAKO INA MATATIZO , ILA WALE AMBAO WAKO ADVACED WANAKUWA NA AUTORESPONDER AMBAYO ITASEMA IMEPOKEA CV KAMA UNATUMIA AUTOLOOK UNAWEZA KUOMBA RECEIPT

4. Kwa nini wanakubana sana katika mshahara KAMA VILE WAO NDIO WAAJIRI?
WAO NDIO WAMECHAGULIWA NA WAAJIRI NA WAO NDIO WENYE MAKUBALIANO NA MWAJIRI
 
Back
Top Bottom