Keren-Happuch: My new Year Messege

dahhh
karibu tena dada Judith..
I have to say Merry Xmass & happy new year.

thanks my dear AD, i wish the same to you

be blessed abundantly in this year 2012!

dada judith umenena vema nami nakutakia heri ya mwaka mpya. point of correction: WHAT IF YOUR BODY BELONGS TO ME (ANY ADAM) AND YOUR HEART BELONGS TO GOD?

asante sana kaka kwa kunitakia heri ya mwkaa mpya 2012.

naomba nitie neno hapo nilipobold. kama unajua taratibu za trusteeship (udhamini) na nafasi za ma-trustees (wadhamini) na trust (mdhaminiwa), utaielewa vizuri signature yangu.

mimi (kama walivyo wanadamu wote) ni mdhamini tu wa mwili wangu huu. mwenye mwili mwenyewe ni Mwenyezi Mungu na ndio maana tunaonywa kila siku kuwa kila mtu atatoa hesabu yake mwenyewe mbele za Mungu (mwenye kuumiliki huu mwili wake) juu ya namna gani aliutumia na hivyo kupokea malipo anayostahili. tusijisahau wapendwa tukajikuta tunatumia miili yetu katika ulevi, uzinzi, ulafi, magonvi nk tukafikiri runao uhuru wa kuitumia miili yetu tutakavyo, la hasha. tunapaswa kuzingatia taratibu za matumizi yake kama mwenye "mali" (Mungu) mwenyewe alivyoagiza.

kwa hiyo kwa ufupi ni kwamba, what belongs to God is not only the heart, but also the body.

Happy new year dd J, like u.
Thank u

thank you very much dear. i wish the same to you

Happy NY, na karibu uokoe jahazi letu la dini kule.

thank you very much dear. i wish the same to you.

nitajitahidi kutembelea kule jukwaa la dini/imani mara kwa mara kadiri iwezekanavyo. i hope you are doing a good job there

Nice msg! Umenikonga sana miss J,kuona nimfuatiliaji wa visa vya bible! Now dayz watu wengi tumetekwa na mambo ya ulimwengu mpaka tunasahau kufungua vitabu vyetu vitakatifu kuona vinatuonya nini! Thanks nd be BLESSD CCTA! Happy New year!

asante sana mpendwa,

usemayo ni kweli tupu. kwa hiyo tujitahidi kujenga mazoea ya kujisomea biblia kila tunapokuwa na nafasi kwani humo ndimo kulimo na hekima yote.

ubarikiwe sana mpendwa

again, happy new year!

happy new year miss Judith................. i love you all.........................you, jamimah, keziah and keren-happuch (bin job and bin JF)...................

haha, thanks AK.

be blessed abundantly
 
MJ,
Heri na fanaka kwa mwaka 2012.
Asante kwa kutujuza kuhusu jina la Kerren, binafsi nilishausoma huo mstari but I never noticed the name.
Nikukosoe kidogo, uchambuzi wako unaongelea tusiache kuombea adui (huu ni mstari tofauti, kama sikosei kwenye mathayo, kuwa tuwaombee adui zetu na wanaotuudhi kwa maana kwa kufanya hivyo tunawapalia makaa). Ayubu aliombea marafiki. Kwa hilo tunakumbushwa kuombea both adui na rafiki, asante kwa combination. Niliwahi kumsikia mtu akisema kuombea wengine ni kama kuweka deposit bank. Na kwa kuombea wengine ni kama unamstua Mungu akuone na wewe.
Kila ndoto yako, ambayo Mungu anaona inakufaa akupatie kwa wakati, si kwa kuchelewa wala kwa kuwahi.

mpendwa king'asti,

asante sana kwa maombi yako na mchango wako. mimi mzima kabisa na namshukuru Mungu kuwa nimeingia mwaka huu ulio na baraka tele.

nakushukuru sana kwa kuongezea kitu hapo mpendwa. mstari unaouzungumzia wa Mathayo ni Mat 5:43-48. unajua, nilisahau kuweka note Muhimu sana kuhusu wale rafiki zake ayubu na hii post yako ndiyo iliyonikumbusha na tayari nimeisha-edit kwenye post ya kwanza. nasema tena asante sana na ubarikiwe sana kwa hilo mpendwa.

ukiangalia nilivyoedit pale juu ni kwamba ni kweli wale walikuwa marafiki na si maadui zake, ila hawa marafiki zake waligeuka mara kuwa kama adui zake kwani mara tu walipomuona ayubu na machungu yake waligeuka kuwa washitaki wake na watu wa kumuudhi na kumzidishia machungu yake badala ya wafariji wake (angalia majibizano kati yao na Ayubu kati ya sura ya 4-25). walikuwa wakimshitaki na kumshutumu kwa kile walichoamini kuwa ni "maovu ya siri ya Ayubu" na kwamba kwa mapigo yale, anavuna alichopanda au tuseme anakula jeuri yake, ndo maana nikasema vile kuwa aliwaombea "adui" zake! ila kwa kweli walikuwa ni marafiki waliogeuka washitaki wake na watu wenye kumuudhi na kumzidishia machungu yake badala ya kumfariji!

ila katika majibizano yale, kuna hekima kubwa sana kutoka kwa kijana Elihu ambaye aliwasikiliza kwa muda mrefu bila kusema neno na mwisho akawataka wote (ayubu na marafiki zake) watubu kwani walikuwa wakinena kwa upumbavu. na mwishoni kabisa Mungu mwenyewe akaingilia kati na kukubaliana na helima ya Elihu na kuwakemea ayubu na marafiki zake na kwaagiza kutubu. ayubu aliagizwa atubu kwa Mungu na marafiki zake waliambiwa watubu kwa Mungu na kisha watoe dhabihu na ayubu waombee. jitahidi mpendwa upate muda usome toba ya ayubu katika 42:1-6, ni maneno yanayogusa sana moyo

nisikuchoshe mpendwa

Mungu akubariki sana na heri ya mwaka mpya 2012!

Glory to God!
 
Asante sana Mpendwa Miss Judith. Nimefurahi kukuona baada ya muda mrefu. Asante kwa kunikumbuka nami katika mwaka mpya..:). Nakutakie nawe heri katika mwaka huu mpya! Bwana akuafanikishe katika yale umepanga.
Ubarikiwe sana.
 
thanks kipipi nashukuru Mungu nimeuona mwaka mpya pia
shamra shamra zinakuwa unapokuwa na nduguzo
thanks kwa kunikumbuka
wengineo pia nawatakieni heri ya mwaka mpya
sikujua kama ms judith unafunga ndoa wadau hujatuambia

Heri zangu za mwaka mpya ziwe nawe Lokissa japo nyie huko bado hamjasherekea!!! Happy New Year again broda....
 
Asante sana Mpendwa Miss Judith. Nimefurahi kukuona baada ya muda mrefu. Asante kwa kunikumbuka nami katika mwaka mpya..:). Nakutakie nawe heri katika mwaka huu mpya! Bwana akuafanikishe katika yale umepanga.
Ubarikiwe sana.

asante sana mpendwa.

nami pia nimefurahi kurudi na kupokelewa vizuri jamvini kama ilivyo kawaida yetu hapa JF. hongera kwa kuchagua ID na avatar nzuri. hakika ni nzuri na njema na imempendeza Mungu iwe nyenzo ya kupitishia ujumbe na salam zangu za mwaka mpya kwa mwaka huu.

uzidishiwe kila jema katika vipimo vyako vyote kwa mwaka huu

ubarikiwe sana mpendwa

Glory to God!
 
kweli nilipotea lakini ni mzima kabisa. mipangilio tu ya majukumu yangu ndo imebadilika kidogo lakini bado tuko pamoja na natumaini mwaka huu utatuweka pamoja zaidi.

mbarikiwe sana wapendwa

Glory to God

Miss Judith... Please make sure you keep your Promise. We missed you.

Do take care. Pamoja Saaana.
 
Miss Judith... Please make sure you keep your Promise. We missed you.

Do take care. Pamoja Saaana.

mpendwa AshaDii,

wasiwasi ondoa kabisa. naamini kuwa kwa neema ya Mungu nitayaweza yote na mwaka huu utakuwa wenye heri na mafanikio zadi na utatuweka pamoja zaidi. nimefurahi kuona kuna watu wananimiss. imenitia moyo sana. tuendelee kumuomba Mungu aturuzukuye kila kitu kwa ukarimu

ubarikiwe sana mpendwa

glory to God!
 
Ngoja nikupe update kidogo:

  • Inabidi Klorokwini na Husninyo alipie maneno yako maana anaya nukuu mno. (barikiwe sana m/wapendwa)
  • Paka Jimmy kakumiss ile mbaya.... Itabidi umtafute.
  • Nilisikia rumors kua umeangukia penzi la Maxence Melo (ni kweli?) lol
  • Kulikua na Gazeti la udaku... Linadai kua Keren_Happuch alikuibia bibilia mkampeleka kwenye maombi....

Nitarudi kwa mengine.....
 
hahahaaa AshaDii! ya kweli hayo??

ngoja nitengeneze invoice haraka niwapelekee akina Klorokwini na Husninyo, huenda nikapata mchango wa nauli ya haraka haraka. ila next time ukiona wanatumia maneno kama "M/ubarikiwe sana wa/mpendwa" bila kumalizia na "Glory to God" tafadhali bonyeza manake ni makosa na hairuhusiwi

huyo PJ najua anachonitafutia ila naogopa kukisema nisije nikaharibu shamrashamra za mwaka mpya jamvi likageuka uwanja wa WWE.

ila jamani huyo anayetuzushia na Maxence ni nani, ningependa kumjua ili nimuombee. manake anaweza kumvurugia Maxence Melo mipango yake bure huko nyumbani kwake.

halafu hilo gazeti la udaku niliwahi kuona title yake tu nikalipotezea manake mie huwa sijishughulishi na udaku, kumbe ndo linaandika mambo kama hayo?????? duh!! ngoja nilisearch nijionee yaliyomo

duh, kweli nimemiss mambo mengi sana. but this year tutaenda sambamba

ubarikiwe sana mpendwa

Glory to God!
 
mpendwa AshaDii,

ndo natoka kule kwenye gazeti la udaku la JF na nimeishia page 25 tu, nimetoka mbio kwa kuhurumia mbavu zangu! nimeweka udaku wa nguvu page ya 55 kama mbavu zako ziko timamu, basi unaweza kupitia pale

dah, nilikosa mengi sana dear. thanks kwa kunishjtua

ubarikiwe sana

Glory to God!
 
mpendwa king'asti,

asante sana kwa maombi yako na mchango wako. mimi mzima kabisa na namshukuru Mungu kuwa nimeingia mwaka huu ulio na baraka tele.

nakushukuru sana kwa kuongezea kitu hapo mpendwa. mstari unaouzungumzia wa Mathayo ni Mat 5:43-48. unajua, nilisahau kuweka note Muhimu sana kuhusu wale rafiki zake ayubu na hii post yako ndiyo iliyonikumbusha na tayari nimeisha-edit kwenye post ya kwanza. nasema tena asante sana na ubarikiwe sana kwa hilo mpendwa.

ukiangalia nilivyoedit pale juu ni kwamba ni kweli wale walikuwa marafiki na si maadui zake, ila hawa marafiki zake waligeuka mara kuwa kama adui zake kwani mara tu walipomuona ayubu na machungu yake waligeuka kuwa washitaki wake na watu wa kumuudhi na kumzidishia machungu yake badala ya wafariji wake (angalia majibizano kati yao na Ayubu kati ya sura ya 4-25). walikuwa wakimshitaki na kumshutumu kwa kile walichoamini kuwa ni "maovu ya siri ya Ayubu" na kwamba kwa mapigo yale, anavuna alichopanda au tuseme anakula jeuri yake, ndo maana nikasema vile kuwa aliwaombea "adui" zake! ila kwa kweli walikuwa ni marafiki waliogeuka washitaki wake na watu wenye kumuudhi na kumzidishia machungu yake badala ya kumfariji!

ila katika majibizano yale, kuna hekima kubwa sana kutoka kwa kijana Elihu ambaye aliwasikiliza kwa muda mrefu bila kusema neno na mwisho akawataka wote (ayubu na marafiki zake) watubu kwani walikuwa wakinena kwa upumbavu. na mwishoni kabisa Mungu mwenyewe akaingilia kati na kukubaliana na helima ya Elihu na kuwakemea ayubu na marafiki zake na kwaagiza kutubu. ayubu aliagizwa atubu kwa Mungu na marafiki zake waliambiwa watubu kwa Mungu na kisha watoe dhabihu na ayubu waombee. jitahidi mpendwa upate muda usome toba ya ayubu katika 42:1-6, ni maneno yanayogusa sana moyo

nisikuchoshe mpendwa

Mungu akubariki sana na heri ya mwaka mpya 2012!

Glory to God!

asante sana dada kwa ufafanuzi. huyo kijana ELIHU kwenye kitabu cha Ayubu, hata mimi namkubali sana. aliongea mambo mazuri sana ya hekima kubwa sana.

asante kwa somo zuri na Mungu akubariki

heri ya mwkaa mpya 2012
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom