Nimesoma Articles zote na ninaungana na aliyesema Tanzania na kenya ni ndugu na majirani sasa hilo zozo lililo anzishwa na waandishi wa habari :that tanzania Elbows Kenya lina anzia wapi? na wengine kumtukana P kikwete kwamba His survival is through begging. mjadala huu kweli umekwenda nje nadhani ya lengo la waandishi wenyewe.
Ninyi kuweni waelewa wa mambo ya kimataifa.Americas interest are put forward than any think that is why given the situation which is preveiling in America ( economicaly in particular ) Oboma regardless of his colour was elcted the President because he became the only person with beter promises of healing the lost popularity of America.
It is with the Americas versed Interests in Tanzania that called for P.Oboma to invite P.Kikwete as first African P to visit white house.
Sasa tatizo liko wapi? Ukweli ni kwamba Oboma siyo Mkenya ni Mmarekani na anendeleza maslahi ya taifa lake kama walivyo fanya PS Cltn na Bush.Tanzania kuna karibu kila Natural Resources. Kwa taarifa Foreign Investers wakubwa in Tz namba 1 ni S.Africa Na 2 ni Kenya. Je mwajua hiyo? Kwa hiyo hata wakenya mnakimbilia Bongo for Investments the Same does Oboma Hence one of the reason of Inviting P.JK mmpo hapo. Kalaga baho