BUBE
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 846
- 253
Ritz, soemtimes ni vema kuchukua sheria kali hata kama dunia italalamika but others will learn a lesson na kuogopa, coz tafiti zinaonesha kuwa ni very negligible % ya watu hawa wanazaliwa walivyo but many are being made! I mean us..e na usagaji vinatengenezwa (mazingira) na hivyo vinaweza kuepukika. Sheria zinaweza kuwasaidia hao jamaa...of course na hofu ya Mungu ni nguzo nzuri kusaidia kuondokana na uchafu huu! Kwa bahati mbaya vipo vitabu na mitandao inafunidisha jinsi gani mwanaume ageuzwe nyuma pasipo kupata maumivu mara ya kwanza, au binti amsage mwenzie bila kuona aibu kwa mara ya kwanza....ni shida tupu!
Ukitumia sheria kali kwa watukama hawa dunia inalalamika.