Kenya wameweza, sisi tunasubiri nini?

Tiba

JF-Expert Member
Jul 15, 2008
4,604
3,163
Wana JF,

Juzi nilibahatika kupita Nairobi na kuwakuta wachina wako busy na ujenzi wa fly overs ambazo pamoja na kwamba bado ujenzi wake haujakamilika lakini tayari zimepunguza foleni kwa kiasi kikubwa sana. Hawa wenzetu wameweza, sisi Tanzania tunasubiri nini?

Tujadili!!!!!

Tiba
 
sure kwa hilo wenzetu wamekau watendaji zaidi kuliko wapiga soga!
 
Imeshajadiliwa hapa kitambo kidogo, tangu project ilipotangazwa.

Usitarajie jipya, kwanini sisi hatujaamua? Ni swali la zamani sana na.majibu yake hayajawahi kubadilika
 
Wana JF,

Juzi nilibahatika kupita Nairobi na kuwakuta wachina wako busy na ujenzi wa fly overs ambazo pamoja na kwamba bado ujenzi wake haujakamilika lakini tayari zimepunguza foleni kwa kiasi kikubwa sana. Hawa wenzetu wameweza, sisi Tanzania tunasubiri nini?

Tujadili!!!!!

Tiba

Barabara gani Tiba?
Unamaanisha Thika Super Highway?
 
mpaka pale mtakapo jua kwa nini nyinyi hamna umuhimu duniani..by ehudi barak....
ndio mtaweza..

RIP Tz..
 
Barabara gani Tiba?
Unamaanisha Thika Super Highway?

Mkuu sina uzoefu mkubwa wa mitaa ya Nairobi, lakini katika zunguka yangu kwa siku kama nne nilizokuwa Nairobi nimeshuhudia fyl over kibao ziko katika hatua za kumaliziwa ujenzi ikiwemo ile ya Limulu Road pale eneo linaitwa Ngala, Parklands.

Tiba
 
Madaraja yamewashinda mtaweza fly-overs?

Mkuu,

Sidhani kama hatuwezi ila priority zetu ni kununua ndege ya Rais, Rada, mashangingi na vitu kama hivyo ambavyo umuhimu wake kwa uchumi wa nchi ni mdogo!!!! Tukiweka ufisadi kando, mbona tunaweza kujenga flyovers tu?

Tiba
 
Wana JF,

Juzi nilibahatika kupita Nairobi na kuwakuta wachina wako busy na ujenzi wa fly overs ambazo pamoja na kwamba bado ujenzi wake haujakamilika lakini tayari zimepunguza foleni kwa kiasi kikubwa sana. Hawa wenzetu wameweza, sisi Tanzania tunasubiri nini?

Tujadili!!!!!

Tiba

Ni kweli ukisemacho ila sisi tunachosubiri ni tamko rasmi toka kwa wabunge wa DSM, watakapo sema ujenzi uanze mimi naamini hakutakuwa na tatizo kabisa & ujenzi utaanza mara moja!
 
Ni kweli ukisemacho ila sisi tunachosubiri ni tamko rasmi toka kwa wabunge wa DSM, watakapo sema ujenzi uanze mimi naamini hakutakuwa na tatizo kabisa & ujenzi utaanza mara moja!

Mkuu,

Ina maana wabunge wa Dar Es Salaam ndio wameshikiria kasma ya ujenzi wa fly-overs? Naomba ufafanuzi hapa!!!!

Tiba
 
tunangojea msaada...hihi, nji yetu ni mathikini...na madini tunagwa bure heheheee. Nchi ya kitu kidogo...
 
eeh bana eeh kwel nchi yetu maskin hata me naona, dah yan watz wote tunaonekana hamnazo, sifa za kwenye media zimetulevya wenzetu wanapiga hatua lol ungekuwa uwezowangu ningefanya vinginevyo, ila no sweat mambo yamekaribia ukingon mana nawaona hata wenye mashangingi skuiz wanaona haya kuyaendesha mchana kweupe
 
tunangojea msaada...hihi, nji yetu ni mathikini...na madini tunagwa bure heheheee. Nchi ya kitu kidogo...

Mkuu,

Unajua ni nchi ngapi zimejitokeza kusaidia ujenzi wa flyovers mpaka sasa? Hilo la madini ni another nightmare lakini wenzetu (mafisadi wanafaidika/walifaidika na mikataba hiyo!!!). Kwa madini tuliyonayo tusingekuwa tunategemea misaada kufanya shughuli zetu za maendeleo kama tungekuwa na viongozi wazalendo!!!

Tiba
 
Tunasubiri uchaguzi tutoe ahadi za kujenga flyover! Tukijenga sasa hv wakati wa uchaguzi tuta ahidi nini?
 
Tunasubiri uchaguzi tutoe ahadi za kujenga flyover! Tukijenga sasa hv wakati wa uchaguzi tuta ahidi nini?

Ni kweli mkuu huu ni mtaji kisiasa lakini wakumbuke uchaguzi uliopita waliahidi the same thing!!!! Kwa kukua kwa uchumi wetu, tunahitaji barabara zinazopitika kwa urahisi. Foleni zinasababisha muda mwingi utumike barabarani na matumizi ya mafuta mengi yasiyo kuwa ya lazima. We need to do something sio kusubiri uchaguzi kutoa ahadi hewa!!!!!

Tiba
 
Wana JF,

Juzi nilibahatika kupita Nairobi na kuwakuta wachina wako busy na ujenzi wa fly overs ambazo pamoja na kwamba bado ujenzi wake haujakamilika lakini tayari zimepunguza foleni kwa kiasi kikubwa sana. Hawa wenzetu wameweza, sisi Tanzania tunasubiri nini?

Tujadili!!!!!

Tiba

Kipaumbele ni kujenga feeder roads kama ubungo msewe na barabara kama hizo
 
Back
Top Bottom