Kenya wameweza, sisi tunasubiri nini?

Kipaumbele ni kujenga feeder roads kama ubungo msewe na barabara kama hizo

Mkuu,

Halafu ukiishatoka kwenye hizo feeder road utapita angani? Si unarudi kwenye main road junctions kama Ubungo, Fire, Magomeni, Tazara n.k? Whether we agree or not, the major partial solution for traffic jam in Dar ni flyovers construction ili kupunguza muda wa kusubiri kuruhusiwa kupita kwenye hizo junction. Tunahitaji direction moja ya barabara itumike kwa masaa 24 yote si kutumika kwa masaa 6 kwa siku!!!!

Tiba
 
Back
Top Bottom