SIMBA WA TARANGA
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 987
- 220
Kibaki ana-beep atajutia. Nadhani jk leo na vizee vyake vya dar ataiga hapo ndiyo kwishney.hiyo ni geresha tu!
Kibaki ana-beep atajutia. Nadhani jk leo na vizee vyake vya dar ataiga hapo ndiyo kwishney.hiyo ni geresha tu!
madaktari
Fuatilia vizuri chanzo chako cha habari! au siku hizi manesi nao ni Madaktari?
Madai ya wauguzi wa Kenya yanalingana kwa kiasi kikubwa n madai ya madaktari wa Tanzania
Aisee... hivi wanadhani ndio solution? Kama una watu 25,000 mbele yako wanakwambia something is not right how dare you tell them to F*ck off na unawareplace na wengine under the same conditions? Watumie busara bwana, people don't strike for fun!