chitambikwa
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,941
- 900
Hawa wanpima joto tu, kesho watarudishwa mapema kazini
Kenya itawanya wapi Ma Dr 25,000?
Binafsi nina Ma class mate 3 ni Ma Dr Kenya kwa miaka zaidi ya 15 sasa. Ma Dr wengine wa kitanzaniaa walio watangulia huko wako kibao. Kungekuwa na Ma Dr 25,000 wakenya wangejitoshereza katika safu hiyo.
Hata wakiwajumrishaa Akina Dr Matunge,Dr Majiya kina Dr Munufu Munyagane na akina Dr Mwandulami bado idadi haiwezi kufika 25,000.
Kama vipi hao waliofukuzwa kenya waje waombe kazi kwa Pinda. Na hawa wanaofukuzwa na JK kesho wajiandae kwenda kenya. Ngoma itakuwa droo
Safi sana JK na wewe fanya kweli kesho washike adabu yao.
angalia vizuri,kenya haiwezi kua na madaktari 25,000Nacheki tv(ya kenya)madaktari 25,000 wamefukuzwa waliokua kwenye mgomo,kenya rais kikwete anahutubia taifa kupitia wazee wa dar saa kumi ss sijui kama na yy ataiga huo mkumbo au lah.
Kenya waliofikuzwa ni WAUGUZI ama MADAKTARI?