Kenya kuruhusu mfumo wa kifedha wa Kiislamu

Its all about business to ensure that the niche market is not neglected, hata western countires have adopted mfumo huu.
 
Tatizo hapa ni kuwa hapa JF kila panapotajwa uislamu au ukristo watu huingiwa na jazba na kuanza kutupiana maneno, kama kwamba uislamu/ukristo kwao hauna maana nyengine zaidi ya kusilimishwa/kubatizwa.
Mfumo wa benki za kiislamu ni kwa maslahi ya kiuchumi na wala haina maana kuwa wanaufuata wanakuwa waislamu. Misingi yake ni kuwekeza bila kutoa wala kudai riba na hii inafaida kiuchumi kwani kunakuwa hakuna kulipa kodi wala msongamano wa ukiritimba wa fedha. Hofu angu ni kuwa wajanja wanaweza kuutumia katika kuficha pesa nyeusi/haramu (kamavile zitokanazo na madawa ya kulevya na biashara haramu) na kukwamisha mzunguko wa pesa.
 
Kenya hao wanaanza kuujuwa uisilamu sasa wabongo nyie kaaeni tu na makanisa yenu hayo ya kinyonyaji na mifumo yenu ya kikatoliki

nani kakwambia kwamba mnazi huvunwa maembe? wala mkorosho huwezi kuengua zabibu
kwa mda yako tu ulivyoileta umeonekana kuwa wewe ni mfuasi wa uislam mzuri sasa kama huo
ndiyo uislamu kama maada yako ilivyo basi ufie huko huko Kenya kwa Tanganyika yetu hautufai
 
本书为斯瓦西里语版, 共分为二十课, 旨在培养学习者汉语听说读写基本技能和一定的汉语
交际能力, 也可用于针对某一特定言语交际技能的汉语教学。

sawa kabisa.
 
tatizo hapa ni kuwa hapa jf kila panapotajwa uislamu au ukristo watu huingiwa na jazba na kuanza kutupiana maneno........

naomba nitoe tahadhari na sisi wote wanajf tulikemee hili swala la udini linazidi sana tukumbuke uzuri wa nchi yetu hatuna mpagan,mwislamu,mkristo,mchaga.mhaya au mngoni wote sisi ni kitu moja.

Mimi ningeomba nchi irudishe jkt...la sivyo kuna watu watatumia hii silaha ya dini au kabila kuvunja starehe zetu.

Haya mambo zamani yalikuwa hayapo sasa naona sasa yanajitokeza tukemee kwanza haya madini wlituletea sio asili yetu
 
Tatizo hapa ni kuwa hapa JF kila panapotajwa uislamu au ukristo watu huingiwa na jazba na kuanza kutupiana maneno, kama kwamba uislamu/ukristo kwao hauna maana nyengine zaidi ya kusilimishwa/kubatizwa.
Mfumo wa benki za kiislamu ni kwa maslahi ya kiuchumi na wala haina maana kuwa wanaufuata wanakuwa waislamu. Misingi yake ni kuwekeza bila kutoa wala kudai riba na hii inafaida kiuchumi kwani kunakuwa hakuna kulipa kodi wala msongamano wa ukiritimba wa fedha. Hofu angu ni kuwa wajanja wanaweza kuutumia katika kuficha pesa nyeusi/haramu (kamavile zitokanazo na madawa ya kulevya na biashara haramu) na kukwamisha mzunguko wa pesa.
kami ni hivi basi imetulia
 
Chanzo cha habari yako ni kipi mkuu? Hata hivyo mbona hapa tz walishaanza kutumia huo mfumo toka siku nyingi? au Kenya Wanadesa kwetu?

Kwa mfano ukienda NBC utaendesha akaunti kwa mfumo wa kiislamu bila tabu.
 
Kwa mfano ukienda NBC utaendesha akaunti kwa mfumo wa kiislamu bila tabu.
huu mfumo wa kutodai riba ni mzuri ila HAKUNA BENKI DUNIANI INAYOJIMUDU bila kuwadai riba wateja wake.
Sisi tunaowekeza hele hatudai riba ila kakope useme wewe ni muislam kwa hiyo hii benki isinidai riba kama watakuelewa.

Hili swala la mfumo kristo linatoka wapi kwani benki zinaendeshwa kwa mistari ya biblia?
 
Back
Top Bottom