Kenya imenasa kwenye mtego wa Magharibi kupitia uchaguzi wa 2022

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Sep 20, 2021
3,214
3,587
Taifa la Kenya linawaka moto kufuatia Mhimili wa Utendaji kuingia kwenye mgogoro wa kikatiba na Mhimili wa Mahakama (ambayo ndiyo inastahili kutafsiri sheria ikiwemo Katiba).

Mataifa ya Magharibi yaliyoingilia uchaguzi hata ulipokuwa Mahakamani yametumia Mhimili huo wa Mahakama kuhalalisha Ushoga na Usagaji LGBTQIA+ Kenya.

Jill Biden mke wa rais wa US ameizuru Kenya kwa siku moja na nyuma yake punde tu Shirika la Marekani la Misaada ya Kimataifa la USAID limeikabidhi Kenya msaada wa USD 120ml (KSH.16bl) kuokoa watu 1.3ml wanaokabiliwa na njaa kali kufuatia ukame wa miaka 3 mfululizo uliovunja rekodi ya miaka 40.

Mgogoro huo sasa umefika kwenye taasisi za Kiroho/Imani ambazo zimeungana na Mhimili wa Utendaji kuupinga Mhimili wa Mahakama.

Inapotokea kuwa rais hawezi kumuondoa Jaji kazini na Jaji akaamua kutumia Mahakama kuiuza nchi, taifa linasalimikaje hapa?

Rais Ruto alikuwa swahiba mkubwa wa Mahakama kupitia Jaji Mkuu Martha Koome wakati wa kesi ya uchaguzi.

Uamuzi wa Mahakama Kuu ya Upeo chini ya Jaji Mkuu Martha Koome kutoa hukumu tata ya kuitaka nchi kutambua kwa sheria haki za Mashoga na Wasagaji umeiweka serikali ya rais Ruto kwenye mashaka makubwa ya uhalali wake kwa wapigakura kiasi kwamba uswahiba wa rais na Jaji Mkuu una muelekeo wa kuporomoka kama siyo hila imetengenezwa.

Uamuzi wa Jaji Mkuu juu ya jambo hili ni mtego na janja ya Ruto kutaka kuonyesha kwamba Katiba ina mapungufu hivyo ifanyiwe marekebisho ILI SASA ATUMIE MWANYA HUO KUIFANYIA MAREKEBISHO MAKUBWA KUINGIZA MAMBO ANAYOTAKA KWA MASLAHI YA SERIKALI YAKE. Ruto na Koome lao moja.

Nyumba ya jirani inapoungua moto jiandalie ndoo za maji.

Ela ya Mzungu tamu lakini chungu, ukiila tu lazima ikukwame kooni.

Napendekeza Afrika ifanye chaguzi kwa ela za ndani ili kulinda uhuru wake.

NB.
Hiyo note book hapo chini nayo ni ya LGBTQIA+?

Bendera za nchi nyingi zina rangi za LGBTQIA+, nazo zibadilishwe?
IMG-20230303-WA0000.jpg
20230303_192113.jpg

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Usichokijua labda Ruto na raisi Samia wako pamoja kwenye kila kitu hata ni wanachama wa WEF hivyo Tanzania pia haichomoi lgbt, ni swala la muda tu, ofcourse hawataamua moja kwa moja hapa Tanzania lkn ukweli ni kwamba ndoa ya jinsia moja Tanzania inakuja na watetezi wake wapo akina tundu lisu, Lema, Mbowe, zito kabwe na CCM ya sasa hivi.

Kenya wako mbele tu lkn chochote kinachotokea Kenya kinakuja TZ pia, kwa maana Bosi ni mmoja!
 
Afande Cholo wa Zanzibar angekuwa ulaya angekuwa shujaa saa hizi pengine kwa ile miuno angepata raisi wa kumuoa.

Ila wazungu safari hii wamekuja kamili kimashambulizi kuhakikisha ushoga unashika hatamu.
 
Taifa la Kenya linawaka moto kufuatia Mhimili wa Utendaji kuingia kwenye mgogoro wa kikatiba na Mhimili wa Mahakama (ambayo ndiyo inastahili kutafsiri sheria ikiwemo Katiba).
hili swala wazungu watalipenyeza kote Africa na hakuna ugumu watakutana nao.

Njaa (umasikini) ni mbaya sana ndugu zangu akulishae atakuamulia mambo yako.
 
Hiyo video inapatikana wapi jamani
Fungueni attachment ya 3 (YouTube mumsikilize Baba Askofu wa Kenya Anglican anavyopangua Ushoga na Usagaji kisayansi, kisiasa, kisheria na kiroho)

Nina mashaka next step kwa wazungu ni ku-corrupt dini (kwa ela nyingi) ili zinyamaze au ziunge mkono ushoga na usagaji.

Yatazuka Makanisa, Jamatini, Masinagogi na Misikiti kukampenia imani mpya hii.

Makanisa kama ya M.s.nja yanapiga jaramba la kupokea mamilioni kama siyo mabilioni na kuendesha Ma-V8.

Liturgia za ndoa zitabadilika NA HUENDA MISAHAFU MIPYA IKAANZA KUINGIA AFRIKA.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Fungueni hiyo YouTube mumsikilize Baba Askofu wa Kenya Anglican anavyopangua Ushoga na Usagaji kisayansi, kisiasa, kisheria na kiroho.

Nina mashaka next step baada ya wanasiasa; ni kwa wazungu ku-corrupt dini (kwa ela nyingi) ili zinyamaze au ziunge mkono ushoga na usagaji.

Yatazuka Makanisa, Jamatini, Masinagogi na Misikiti kukampenia imani mpya hii.

Makanisa kama ya M.s.nja huenda yanapiga jaramba la kupokea mamilioni kama siyo mabilioni na pia kuendesha Ma-V8.

Liturgia za ndoa zitabadilika NA HUENDA MISAHAFU MIPYA IKAANZA KUINGIA AFRIKA.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Taifa la Kenya linawaka moto kufuatia Mhimili wa Utendaji kuingia kwenye mgogoro wa kikatiba na Mhimili wa Mahakama (ambayo ndiyo inastahili kutafsiri sheria ikiwemo Katiba).

Mataifa ya Magharibi yaliyoingilia uchaguzi hata ulipokuwa Mahakamani yametumia Mhimili huo wa Mahakama kuhalalisha Ushoga na Usagaji LGBTQIA+ Kenya.

Mgogoro huo sasa umefika kwenye taasisi za Kiroho/Imani ambazo zimeungana na Mhimili wa Utendaji kuupinga Mhimili wa Mahakama.

Inapotokea kuwa rais hawezi kumuondoa Jaji kazini na Jaji akaamua kutumia Mahakama kuiuza nchi, taifa linasalimikaje hapa?

Rais Ruto alikuwa swahiba mkubwa wa Mahakama kupitia Jaji Mkuu Martha Koome wakati wa kesi ya uchaguzi.

Uamuzi wa Mahakama Kuu ya Upeo chini ya Jaji Mkuu Martha Koome kutoa hukumu tata ya kuitaka nchi kutambua haki za Mashoga na Wasagaji umeiweka serikali ya rais Ruto kwenye mashaka makubwa ya uhalali wake kwa wapigakura kiasi kwamba uswahiba wa rais na Jaji Mkuu umeporomoka.

Nyumba ya jirani inapoungua moto jiandalie ndoo za maji.

Ela ya Mzungu tamu lakini chungu, ukiila tu lazima ikukwame kooni.

Napendekeza Afrika ifanye chaguzi kwa ela za ndani ili kulinda uhuru wake.

NB.
Hiyo note book hapo chini nayo ni ya LGBTQIA+?

Bendera za nchi nyingi zina rangi za LGBTQIA+, nazo zibadilishwe?View attachment 2536192View attachment 2536196

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Sijui huyo mke wa Waziri Mkuu wa Luxemburg ataitwa first lady au first nani?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom