Gurudumu
JF-Expert Member
- Feb 5, 2008
- 2,349
- 261
YES kinaweza kwasababu Mahakama ni muhimili wa dola na Bunge ni muhimili wa dola na ni marufuku kujadili jambo lilo mahakamani hii ni kwa mujibu wa sheria ya nchi.
My take.
Wameamua kuchukua hatua hii ili kuzuwia mjadala kwenda Bungeni.
Basi hii ni ishara kwamba;
1. Kweli malipo ya dowani ni dili hewa la kifisadi
2. Serikali imeshagundua kwamba haina uwezo wa kujibu hoja bungeni
3. Pengine watashinikiza mahakama kuu ikubali hukumu ya ICC kisha walipe pesa hizo haraka waje kusema walitekeleza hukumu ya mahakama kuu
4. Serikali na ccm hawawezi kabisa tena kuongoza hii nchi. Kila siku kuna ama kauli au tendo tofauti kuhusu malipo ya dowansi