Kennedy Fungamtama; Wakili aliyewasilisha Hukumu ya Dowans Mahakama Kuu!

Albert Msando

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
1,019
171
Taarifa zilizopo ni kwamba yule 'mwanasheria maarufu' aliyesema kwamba Dowans walipwe la sivyo tutakosa misaada ndiye ameenda kusajili Mahakama Kuu ya Tanzania Tuzo/Hukumu dhidi ya Tanesco kwa niaba ya Dowans!

Huyu ndiye ambaye taarifa ilitolewa hapa JF kwamba alikuwa ni wakili wa Rostam Aziz na wengine ambao watuhumiwa wa ufisadi.

As time goes the truth will be nothing more that the reality! Pieces of the puzzle are slowly fitting together!

God bless Tanzania! God bless JF. God bless me!
 
Unadhani kitendo cha kuisajili mahakamani kinaweza kuzuia mjadala bungeni?
 
Mwacheni awasimamie Dowans na kwa matokeo yoyote yale lazima tudai waliotufikisha hapa wanafikishwa mahakamani
 
Jamani hivi watanzania tumegeuzwa mazuzu kiasi hiki -nimesoma the guardian la leo kwamba wakili wa dowans aliyewakilisha hukumu ya downs ni kennedy fungamtama -ambaye alitoa tamko katika gazeti la tanzania daima kwamba wiki moja iliyopita kwamba serikali na watanzania tumpuuze sitta na mwakyembe na kwamba yeye kama mwanasheria anaishauri serikali ilipe dowans la sivyo mali za nchi hii zitakamatwa nje ya nchi. Kweli watanznaia tumegeuzwa mazuzu kiasi hiki jamani?????????? Mtu huyu huyu ndio wakili wa dowans na yule fisadi bingwa ra, na ndiye amelipotiwa kuwasilisha hukumu mahakama kuu kwanini watanzania tusimkamate huyu kwanza?? Anatoa wapi moral authority kutoa tamko-wakati ndiye anasimamia wizi wa kodi zetu?? Imeniuma sana niliposoma kwmba yeye ndie anasimamia wizi wote huo nimeishiwa nguvu kabisa. Kweli sisi mazuzu
 
Sisi tunaongea sana,akuna waislamu wala wana mapinduzi apa ilikuwa R wote ni shaba tu na any one ambaye mkono wake upo Dowans ni shaba tu.sisi tunaongea sana kama tupo uhani tunapika na wanaume wapo barazani mume wetu anafunga ndoa ya 4.Ingekuwa South saizi tunapanga 40 za hawa wa*!”e. Sasa tunaongea tuu mpaka lini? Wanaume wajitokeze tuanze kazi Umshini Wami viva Jacob Zuma
 
NGELEJA ajiuzulu. alikuwa mfanyakazi wa kampuni binafsi kabla hajawa waziri.alikuwa naibu waziri wakati sakata la richmond linatokota.ametulazimsha tulipe kwa haraka.
 
Sisi tunaongea sana,akuna waislamu wala wana mapinduzi apa ilikuwa R wote ni shaba tu na any one ambaye mkono wake upo Dowans ni shaba tu.sisi tunaongea sana kama tupo uhani tunapika na wanaume wapo barazani mume wetu anafunga ndoa ya 4.Ingekuwa South saizi tunapanga 40 za hawa wa*!"e. Sasa tunaongea tuu mpaka lini? Wanaume wajitokeze tuanze kazi Umshini Wami viva Jacob Zuma
kuna kitu kinaitwa modality...toa modality basi......tuanze kuamsha hisia za hawa majirani tuwafukuze hawa manyang'au!!!!
 
Imefika wakati tuwe watendaji na sio brabraa kama za CCM mwaka wa 50 akuna jipya zaidi ya aliocha mkoloni na kidogo Nyerere.let's decide tuachane na kuonyesha jazba kupitia kybord let's do it! Wapo wapi wanaume wa kweli kama gaza? Wapi washua w kweli kama Somalia?
 
Jamani tunahitaji kuwa maandamano kupinga kwa nguvu zote hii kitu ya Dowans! ukimya wetu ndo maana wanatuona wajinga! Jamaa anasema lazima serikali ilipwe, kumbe na yeye ana mgao wako humo!....I hate this.....:(
 
Jamani hivi watanzania tumegeuzwa mazuzu kiasi hiki -nimesoma the guardian la leo kwamba wakili wa dowans aliyewakilisha hukumu ya downs ni kennedy fungamtama -ambaye alitoa tamko katika gazeti la tanzania daima kwamba wiki moja iliyopita kwamba serikali na watanzania tumpuuze sitta na mwakyembe na kwamba yeye kama mwanasheria anaishauri serikali ilipe dowans la sivyo mali za nchi hii zitakamatwa nje ya nchi. Kweli watanznaia tumegeuzwa mazuzu kiasi hiki jamani?????????? Mtu huyu huyu ndio wakili wa dowans na yule fisadi bingwa ra, na ndiye amelipotiwa kuwasilisha hukumu mahakama kuu kwanini watanzania tusimkamate huyu kwanza?? Anatoa wapi moral authority kutoa tamko-wakati ndiye anasimamia wizi wa kodi zetu?? Imeniuma sana niliposoma kwmba yeye ndie anasimamia wizi wote huo nimeishiwa nguvu kabisa. Kweli sisi mazuzu

Mkuu wanasheria wetu wako kwa maslahi binafsi zaidi, uzalendo zero. Huyu Fungamtama anachotazamia hapo ni mshiko wake ambao anaweza kula maisha yake yote ikiwa pesa hizo zitalipwa kwa Dowans. Kuna wakati alishawahi kushinda kesi fulani hivi akalipwa milioni 100. Jamaa alizuzuka, ikabidi asimamishe kazi zake aende akale pesa hizo huko Hong Kong kwa siku kadhaa. Akina Ringo Tenga nao utakumbuka ndo walikuwa wanaitetea Richmond kuwa ni kampuni halali kabisa ili tu tuibiwe na wao watajirike.
 
Mimi ni mwoga sana wa machafuko. Lakini historia inasema nchi nyingi zilizoendelea na zenye viongozi wenye nidhamu zilianza kwa watu kupeana vichapo, from Japan, Uk, etc. Mabadiliko kuja kwa midomo ni kazi hasa kwa watu walonogewa na ufisadi. Tuendelee kukemea labda watatusikia. Nimechoka na CV ya nchi yangu. Tanzania is among the poorest countries in the world....Kila nikipresent darasani ndo utangulizi. Aibu jamani. Naulizwa mbona mna madini kibao?
 
Unadhani kitendo cha kuisajili mahakamani kinaweza kuzuia mjadala bungeni?

YES kinaweza kwasababu Mahakama ni muhimili wa dola na Bunge ni muhimili wa dola na ni marufuku kujadili jambo lilo mahakamani hii ni kwa mujibu wa sheria ya nchi.

My take.

Wameamua kuchukua hatua hii ili kuzuwia mjadala kwenda Bungeni.
 
Jamani tunahitaji kuwa maandamano kupinga kwa nguvu zote hii kitu ya Dowans! ukimya wetu ndo maana wanatuona wajinga! Jamaa anasema lazima serikali ilipwe, kumbe na yeye ana mgao wako humo!....I hate this.....:(

Jamaa hakudeclare conflict of interest halafu eti hawa jamaa wanajiita professional mhnnn
 
Back
Top Bottom