Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,198
- 3,566
Naomba kuuliza kuna kemikali huwa ukimwaga kwenye shimo la choo inabandua ule uchafu na inaushusha wote, inaitwaje!?
Wengine huwa wanaweka mbolea ya UREANaomba kuuliza kuna kemikali huwa ukimwaga kwenye shimo la choo inabandua ule uchafu na inaushusha wote,inaitwaje!?
Tumia tindikali au coca colaNaomba kuuliza kuna kemikali huwa ukimwaga kwenye shimo la choo inabandua ule uchafu na inaushusha wote,inaitwaje!?
Kwenye shimo la choo mf. Kreti/ chupa ngapi zinatosha (coke)Tumia tindikali au coca cola
Kama ni kusafishia beseni la kinyesi chupa moja inatoshaKwenye shimo la choo mf. Kreti/ chupa ngapi zinatosha (coke)
'Beseni' ukimaanisha shimo zima la choo kwa chupa1 tu ya coke, ama?Kama ni kusafishia beseni la kinyesi chupa moja inatosha
Sisi wazee wa zamani tunatumia majivuNaomba kuuliza kuna kemikali huwa ukimwaga kwenye shimo la choo inabandua ule uchafu na inaushusha wote,inaitwaje!?
Tumia tindikali au coca cola
Wengine huwa wanaweka mbolea ya UREA
Dawa ya MOTO ni MOTO....M*vi ni mbolea halafu unaongezea mbolea tenaa 😂 😂