Kelele za rais rais rais za tikisa jiji la mwanza

SILISABANGOO

JF-Expert Member
Oct 6, 2015
425
53
Ni hali iliyosisimua hadi wana ukawa kwa jinsi kelele za rais rais rais zilipokuwa zinatawala kila kona hapa jijini .... kweli Magufuli ni rais anayependwa na wananchi kuliko wagombea wote wa nafac ya urais...... kila la kheri Mh. rais wa awamu ya tano.....alutaaaaaaaaa
 
hayaa kachukue buku 7 zako chap
 
Duh..wewe ni mwanaccm halisi...huku mtaani kwetu ukitaka kumtukana mtu tunamwambia mbona una mambo ya kisisiemu sisiemu.....kupiga push up kwa ajili ya kukuza uchumi..kuringa kujenga barabara ndio mafanikio ya miaka 54...shuwaini
 
Mie toka jana wala sina shida kwasababu Magufuri keshashinda
 
Mimi tayari na nguo nishashona ina alama za makufuli ishara ya kufunga Milango no mafisadi anymore. Nyie zubaeni tu
 
Back
Top Bottom