Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 734
Hapa ni bongo? sio Pakistan au Afghanstan?
Acheni Utomaso someni source ya picha toka kwa MichuziElToro unataka kutuchakachua hivi hivi!!!
hapa sio bongo lol, hakuna rangi za kibongo hapo.
ElToro unataka kutuchakachua hivi hivi!!!
hapa sio bongo lol, hakuna rangi za kibongo hapo.
ElToro unataka kutuchakachua hivi hivi!!!
hapa sio bongo lol, hakuna rangi za kibongo hapo.
.........tuna watanzania wenye asili ya asia wengi tu hapa Dar es salaam ....
Mbona naona maeneo ya diamond jubilee?inawezekana ni bongoElToro unataka kutuchakachua hivi hivi!!!
hapa sio bongo lol, hakuna rangi za kibongo hapo.
Wamatumbi hawakupata mwaliko?
wali alikwa ila mpiga picha alifanyia photo shop kawabadilisha wote
Mbona naona maeneo ya diamond jubilee?inawezekana ni bongo