Keki ya tani moja Bongo

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
01.jpg
02.jpg
 
ElToro unataka kutuchakachua hivi hivi!!!

hapa sio bongo lol, hakuna rangi za kibongo hapo.

Angalia kwenye picha mkono wako wa kushoto - huo ni ukumbi wa mikutano na sherehe wa Diamond Jubilee. Kuhusu rangi kumbuka tuna watanzania wenye asili ya asia wengi tu hapa Dar es salaam na ndio walioshiriki shughuli hii kwani inahusu dhehebu lao.
 
ni dhehebu la kiislamu mbona waumini wake ni watu wenye asili ya asia??
 
Mbona Kikwete hakwenda? maana sherehe kama hizi hazimpiti.

Au iligongana na ile ya Askofu mkuu wa Dom akashindwa ajigawe vipi?
 
Mie niliona jana ilioneshwa na ITV. Hapo Dar Jumuiya ya Mabohora walikuwa wanasherehekea miaka 100 ya kiongozi wao. Hiyo keki pia ilipewa umuhimu kwa kuelezewa kwamba ina uzito wa kg. 100.
 
Back
Top Bottom