Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kegel exercise

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Opticf, Oct 7, 2012.

 1. O

  Opticf Member

  #1
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hili zoez liko vp napenda kufaham
   
 2. kisukari

  kisukari JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,308
  Likes Received: 505
  Trophy Points: 280
  ingia youtube utaona video nyingi tu za hayo mazoezi
   
 3. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 13,139
  Likes Received: 412
  Trophy Points: 180
  na kweli manake nilikuwa nawaza namulekezaje manake dah!si unajua lilivyo gumu kulifanyia demo!hahhahhahhaha upo mamie?
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,109
  Likes Received: 597
  Trophy Points: 280
  Kwa kifupi zoezi linavyofanywa ni kama unazuia mkojo(unabana na kuachia),fanya kwa steps,unaanza mara 5 then unakuja mara kumi hivyo hivyo lengo lake ninasaidia kuikomaza misuri ambayo inasaidia ku-control pre-mature ejaculation kama wewe ni one minute man ukipiga hii vizuri unaweza kwenda hadi dakika 40.........
   
 5. O

  Opticf Member

  #5
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hapo nimekupata maana nilikuwa nalisikia kabla ya kugoogle ikabd nililete hapa. Thx
   
 6. data

  data JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 11,754
  Likes Received: 1,647
  Trophy Points: 280
  google atakuta notes mpaka akimbie
   
 7. LEARNED BROTHER

  LEARNED BROTHER JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 249
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  jibu lako limetusaidia wengi arifu, thank you very much!
   
 8. s

  sarikoki JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hehehe..hilizoezi bana..najaribu kulifanya sasa ivi hapa mashine (mb**) imesimama balaa..mpaka naona noma kuna maana kuna kasichana kila saa kanakuja kwenye deski langu naomba kasije mida hii maana ni balaa....eniwey hasante sana.
   
 9. m

  mwanamabadiliko JF-Expert Member

  #9
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  jembe fanya mpango umtombe huyo mtoto
   
 10. wagaba

  wagaba JF-Expert Member

  #10
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 815
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Neno kali sana hili
   
 11. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #11
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,456
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wewe...
  Ish.....
   
 12. u

  ungonella wa ukweli JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 4,227
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ina maana zoezi linafanyika wakati wa kukojoa au!
   
 13. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #13
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Mbona siwaelewi jamani???? Nahitaji kujuzwa zaidi. Fafanueni jamani kwa faida yangu na wengine wasiojua hili.
   
 14. s

  sarikoki JF-Expert Member

  #14
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hehehhehe....aisee wewe ni balaaa. Nimecheka sana...hahahaha Du! kweli JF mwisho
   
 15. s

  sarikoki JF-Expert Member

  #15
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kwani wewe ni She au He
   
 16. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
   
 17. s

  sarikoki JF-Expert Member

  #17
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Okay..hilizoezi ni la kina hiii , ni kwa ajili ya kutengeneza misuli ya kwene sehemu za siri ili amsugue kwa mda mrefu shiiii
  Kama unataka malezo zaidi labda PM maana maneno menine makali kidogo
   
 18. m

  mwanamabadiliko JF-Expert Member

  #18
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  unaweza fanya wakati wa kukojoa lakini haishauriwi. Kukojoa inakusaidia kuweza kuijua misuli hyo ya PC.(pubococcygoes), ni ile misuli unayoikaza kuzuia mkojo. Sasa ukishaigundua , unaweza fanya wakati wowote na mahali popote, kukusaidia ndo hyo hyo misuli ya mk..ndu unaweza kuikaza na kuilegeza. Zoezi unaweza kufanya ukiwa umekaa, unaendesha. Mgawanyiko 1. Unakaza na kuachia kwa raundi 10 mpaka 10+ depending on ur strengh. 2. Unakaza kwa 10 sec na kupumzika kwa 10 unakaza tena na kuendelea 3. Ongeza muda wa kukaza kutoka 10sec hadi 20. UTAKUJA KUWA MTOMBAJI MZURI NAKUHAKIKISHIA
   
 19. O

  Opticf Member

  #19
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hata wanawake pia wanaruhusiwa kufanya zoez hil maana nao linawaimalisha misul yao ya k*m*n il isiwe legelege na pia inawasaidia wakat wa kujifungua
   
 20. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #20
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 50,102
  Likes Received: 9,809
  Trophy Points: 280
  ....Nenda chooni wakati wa haja ndogo...ukishaanza kushughulika bana mkojo kwa muda utakaoweza, kisha endelea tena kwa muda mfupi unaubana tena hivyo hivyo mpaka unamaliza. Ukimaliza zoezi hili utafahamu ni muscles zipi katika mwili wako ambazo ulikuwa unatumia ili kuubana mkojo. Ukishafahamu hivyo basi zoezi hilo la Kegel linaweza kufanyika wakati wowote ule ukiwa unaendesha gari, ndani ya daladala, taxi, umekaa kwenye kiti/kitandani huku unachungulia JF n.k...Nadhani nimeeleweka.

   
Loading...