Keep it up mheshimiwa Godbess Lema

Wababa

Senior Member
Jul 21, 2011
158
14
Nitaenda jela kwa hiari yangu binafsi wale mlionitisha kwenda jela sasa nimetangulia kwa hiari yangu, mliobaki msiogope jela, endeleeni kupigania ukombozi utakaoleta utu na heshima katika nchi yetu.
 
Nani aliomtisha kwenda jela? kapewa dhamana kaikataa, asidanganye watu. Siasa za kucheza na hisia na watu ni mbaya kuliko siasa maji taka.
 
Nani aliomtisha kwenda jela? kapewa dhamana kaikataa, asidanganye watu. Siasa za kucheza na hisia na watu ni mbaya kuliko siasa maji taka.
mbona hamkumkamata Jairo aliposukumwa na gari yake pale wizara ya nishati na madini? Mtego mdogo mmeingia kichwakichwa safari hii inakula kwenu.OCD kwanza then watafuata wengine
 
Huyu jamaa anataka cheap popularity. Hana lolote huyo.
 
UV-CCM pale arusha waliandamana bila kibali cha polisi na hawakufunguliwa kesi wala kukamatwa! Double standards? What a shame? Police na mahakama arusha mnatuabisha.acheni mbunge afanye kazi za maendeleo ya jimbo na sio kupotezeana muda na gharama zisizo na msingi.mlimkodia Freeman ndege mlipata nini na pesa za afya na barabara hamna!
 
Siyo lema tuu anayetishiwa jamani, tukianza kuwataja wabunge na madiwani wa cdm wanaotishiwa kila cku na vyombo vya usalama ni wengi kupita maelezo, sasa lema ameonyesha wazi hatishwi na huko jela wanapomtishia kila cku, amepeleka ujumbe wake direct kwa wale wanaozani anaogopa kwenda jela
 
nimeamini bongo ufikiri,shule,bado sana yaani watu bado wanamwona huyu jamaa shujaa kwa maigizo ya kitoto hivi.mbaya na humu kwa ma_great thinker
 
Siyo lema tuu anayetishiwa jamani, tukianza kuwataja wabunge na madiwani wa cdm wanaotishiwa kila cku na vyombo vya usalama ni wengi kupita maelezo, sasa lema ameonyesha wazi hatishwi na huko jela wanapomtishia kila cku, amepeleka ujumbe wake direct kwa wale wanaozani anaogopa kwenda jela

Angetishwa angepewa dhamana?
 
UV-CCM pale arusha waliandamana bila kibali cha polisi na hawakufunguliwa kesi wala kukamatwa! Double standards? What a shame? Police na mahakama arusha mnatuabisha.acheni mbunge afanye kazi za maendeleo ya jimbo na sio kupotezeana muda na gharama zisizo na msingi.mlimkodia Freeman ndege mlipata nini na pesa za afya na barabara hamna!

Huu inaonesha si ukweli.

Freeman Mbowe alikodiwa ndege ipi?
 
Ni kosa gani alilofanya mpaka apewe dhamana?
nani aliomtisha kwenda jela? Kapewa dhamana kaikataa, asidanganye watu. Siasa za kucheza na hisia na watu ni mbaya kuliko siasa maji taka.
hivi we mwanamke utaelimika lini?? G .lema katujengea ujasiri hatuogopi tn polisi, hatuogopi magereza ilimradi tusivunje sheria.
 
Na serikali ya Tz pale aliposhindwa kuripoti mahakamani, walimkodia dege la jeshi na ulinzi mkubwa wa gari za polisi zaidi ya 10
Huu inaonesha si ukweli. Freeman Mbowe alikodiwa ndege ipi?
halafu wakapewa amri na brigedia jenerali mkuu wa makamanda wa tz kw ikifika sa 4 wawe wamemwachia bila mashart yyt, NA BILA KUPINDAPINDA WAKATII MASHART TN HARAKA SN
 
Nitaenda jela kwa hiari yangu binafsi wale mlionitisha kwenda jela sasa nimetangulia kwa hiari yangu, mliobaki msiogope jela, endeleeni kupigania ukombozi utakaoleta utu na heshima katika nchi yetu.

Lema bado ajaenda Jela unajua Jela wewe? Lema kaenda mahabusu baada ya kukataa dhamana yeye binafsi..

Kama anataka kwenda Jela akitoka mahabusu waitishe maandamano kwa nguvu au ampige mtu halafu mahakama imuhukumu..

Hapo ndio atajua Jela ni nini kazi nzito kuamishwa Jela zingine kufua nguo za nyampala
 
Watu wengine humu nishawaona vilaza kweli, hawaoni hata n jinsi gani LEMA anavyopigania watanzania kutendewa haki na hawa polisi waonevu.
 
Nitaenda jela kwa hiari yangu binafsi wale mlionitisha kwenda jela sasa nimetangulia kwa hiari yangu, mliobaki msiogope jela, endeleeni kupigania ukombozi utakaoleta utu na heshima katika nchi yetu.
Wakati mwengine na wasiwasi kuwa huyu jamaa huwa anapelekaga gaja. maamuzi yake siku zote huwa yanakuwaga ya ajabu.
 
Back
Top Bottom