Kazi ya uhasibu.

Bankrupt

Member
Jun 4, 2012
16
2
Wanajamii natafuta kazi ya uhasibu. Mi ni fresh graduate, nina experience maana nilifanya field kwenye accounting department na nimewahi kuwa cashier kwenye associations za wanafunzi chuo. Kwa yeyote anaeweza nipa channel ya kazi naomba tuwasiliane kwa private message. Natanguliza shukrani.
 
yes al zagawi! Unashangaa jina?

karibu nyumbani kaka,kwa hiyo fani uliyo nayo wako zaid ya wengi mtaani wengine wana zaidi ya miak mitatu,uwe mvumilivu na moyo wakuomba kila zinapo tokea,ki ukweli exp yako bado sana kama ukiweza jaribu kuomba kujitolea japo napokupata ni kazi na hilo jina kaka
 
ahsante kwa ushauri ila mi ni dada.
 
Jifunze pia kuandia heading nzuri inayoendana na hitaji lako, mfano ungeanza kwa kusema 'Natafuta kazi ya..... ingependeza zaidi
 
Wenzio tupo kitaa toka muda xana,na bado twaendelea kuhustle,cha msingi never giveup:A S cry:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom