Nani kambaguwa nani?Kwasababu hakuna mmiliki binafsi wa hii oxygen so itabidi tuifaidi wote bila kubaguana wala kutishana
Nani kambaguwa nani?Kwasababu hakuna mmiliki binafsi wa hii oxygen so itabidi tuifaidi wote bila kubaguana wala kutishana
Kwa mtazamo wakoPumba
Inashangaza wanaungana na majeshi ya serikali na wale interahamwe wa FDLR kupambana na M23MONUSCO Mandate yao ni kulinda Amani.
Watakula kichapo eti FLDR wanaitwa Wazalendo.Inashangaza wanaungana na majeshi ya serikali na wale interahamwe wa FDLR kupambana na M23
Mission iliyopo huko sio ya Monusco. Ni sadc ambao Tshisekedi aliomba kwa wakuu wa Sadc wakamsaidie kupora waasi silaha na kurejesha amani. Kwasababu serikali ya Congo inawatambua M23 kama waasi ndio maana hivyo vikosi vimepewa maelekezo ya kutoa kichapo kwa hao kunguru. Mind you, hili swala ni kama wakuu wa Sadc wameamua kudili na mzizi wa fitina. Askari 2900 on the way na bajeti wanaongeza. Kazi kwenu watutsi wa Congo aidha mnataka kuishi au muweke silaha chibi, safari hii hata wenye dunia wanawatosaInashangaza wanaungana na majeshi ya serikali na wale interahamwe wa FDLR kupambana na M23
Ufaransa ameshamwambia Rwanda aondoe majeshi congo, ameshajua kinachofuatia baada ya wanajeshi 2 wa south africa kuuawa, wanajua kuna kichapo kikubwa sana kitafuta. na rwanda mbio kaenda kuandika barua akilalamikia MUNUSCO. usichojua, ufaransa, marekani na nchi zingine wanafaidika na rwanda, hivyo wamejifanya tu waonekane kama hawapo pamoja nae kwamba aondoke congo ili rwanda aondoke, kwasababu wanajua kuna vita inaweza kutokea na kipiganwa muda mrefu hata wao wanaweza kuaibika kwa kujulikana uovu wao.Watakula kichapo eti FLDR wanaitwa Wazalendo.
Ngoja waanze kupeleka Maiti nyumbani ili Watu wajiulize MONUSCO inafanya nini Kongo.
Ni kama UNRWA inavyoisaidia HAMMAS.
Wanyarwanda mko bize kuandika mada za kinafiki katika mitandao ya nchi za Afrika MasharikiDreams
Mfaransa aliyewasaidia INTERAHAMWE wakati wanafanya Mauaji ya Kimbari Rwanda wakati RPF ilipokuwa ikiwaadabisha Wauwaji wale.Ufaransa ameshamwambia Rwanda aondoe majeshi congo, ameshajua kinachofuatia baada ya wanajeshi 2 wa south africa kuuawa, wanajua kuna kichapo kikubwa sana kitafuta. na rwanda mbio kaenda kuandika barua akilalamikia MUNUSCO. usichojua, ufaransa, marekani na nchi zingine wanafaidika na rwanda, hivyo wamejifanya tu waonekane kama hawapo pamoja nae kwamba aondoke congo ili rwanda aondoke, kwasababu wanajua kuna vita inaweza kutokea na kipiganwa muda mrefu hata wao wanaweza kuaibika kwa kujulikana uovu wao.
Safari hii mmejichanganya sana mkuu.Wewe kila anaepinga uovu dhidi ya wanyarwanda wa Congo ni mtutsi?
Kipigo kiendelee... Piga kunguruNashindwa kuelewa tunaambiwa vikosi vya umoja wa mataifa MONUSCO pamoja na SADC kazi yao ni kulinda amani huko mashariki ya DRC lakini kazi wanayoifanya ni kusaidia vikosi vya serikali ya Congo kupambana na M23.
Je kuna uhalali kuendelea kuwepo kwa vikosi hivyo vya kimataifa katika ardhi ya Congo?
Nadhani wakati umefika sasa Umoja wa mataifa na SADC kuondoa majeshi yao kwakua jukumu walilopewa wameshindwa kulifanya kinachoendelea huko kwa sasa ni uhuni mtupu au wao ndio wezi wa madini ya Congo?
Bunduki haitasaidia kumaliza mgogoro wa DRC na M23 tupo hapa mkuu.Mission iliyopo huko sio ya Monusco. Ni sadc ambao Tshisekedi aliomba kwa wakuu wa Sadc wakamsaidie kupora waasi silaha na kurejesha amani. Kwasababu serikali ya Congo inawatambua M23 kama waasi ndio maana hivyo vikosi vimepewa maelekezo ya kutoa kichapo kwa hao kunguru. Mind you, hili swala ni kama wakuu wa Sadc wameamua kudili na mzizi wa fitina. Askari 2900 on the way na bajeti wanaongeza. Kazi kwenu watutsi wa Congo aidha mnataka kuishi au muweke silaha chibi, safari hii hata wenye dunia wanawatosa
Wezi wa madini congo ni rwanda kwa kuwashirikisha watutsi wa congo. Jeshi la M23 ni jeshi la watutsi na ndio wezi wa madini congo. Shida ya wacongo kagame amekua anawashirikisha viongozi kinshasa na majenerali wa fardc kwa kuwahonga ndio maana ghasia hazitamalizika mashariki ya congo.Nashindwa kuelewa tunaambiwa vikosi vya umoja wa mataifa MONUSCO pamoja na SADC kazi yao ni kulinda amani huko mashariki ya DRC lakini kazi wanayoifanya ni kusaidia vikosi vya serikali ya Congo kupambana na M23.
Je kuna uhalali kuendelea kuwepo kwa vikosi hivyo vya kimataifa katika ardhi ya Congo?
Nadhani wakati umefika sasa Umoja wa mataifa na SADC kuondoa majeshi yao kwakua jukumu walilopewa wameshindwa kulifanya kinachoendelea huko kwa sasa ni uhuni mtupu au wao ndio wezi wa madini ya Congo?
Rwanda haiendeshwi na kelele za mataifa mengine. Usalama wa Rwanda ni muhimu mwaka 1994 hawa wanaojifanya kuongea sasa walikua kimya wakati watutsi wanachinjwa na Interahamwe.Ufaransa ameshamwambia Rwanda aondoe majeshi congo, ameshajua kinachofuatia baada ya wanajeshi 2 wa south africa kuuawa, wanajua kuna kichapo kikubwa sana kitafuta. na rwanda mbio kaenda kuandika barua akilalamikia MUNUSCO. usichojua, ufaransa, marekani na nchi zingine wanafaidika na rwanda, hivyo wamejifanya tu waonekane kama hawapo pamoja nae kwamba aondoke congo ili rwanda aondoke, kwasababu wanajua kuna vita inaweza kutokea na kipiganwa muda mrefu hata wao wanaweza kuaibika kwa kujulikana uovu wao.
Wanachezea kichapo balaa tayari SANDF wawili wametangulizwa kwa baba mbinguni.Kipigo kiendelee... Piga kunguru
Mfaransa hakuwasaidia intarahamwe, yeye alikuwa bega kwa bega na serikali iliyokuwa madarakani , serikali ya wahutu ambayo kagame alitungua ndege ya rais wa nchi. kilichotokea, wahutu waliokuwa madarakani tayari walikuwa na silaha nyingi na waliua raia wengi sana kabla RPF hawajafika, ni kweli mauaji yaliandaliwa kabla kwa kuagiza mapanga china lakini haikuratibiwa na ufaransa. pia jua kuwa, RPF walishinda sio kwasababu walikuwa na uwezo sana, No, walisaidiwa sana na Uganda, M7 fought alongside them, ndio maana walitokea upande wa Uganda na ukijua Kagame alishakuwa mwanajeshi wa juu sana ndani ya Jeshi la M7. haya yameongelewa na watusi wenyewe waliomgeuka kagame ambao kagame anawawinda huko nje ya nchi.Mfaransa aliyewasaidia INTERAHAMWE wakati wanafanya Mauaji ya Kimbari Rwanda wakati RPF ilipokuwa ikiwaadabisha Wauwaji wale.
Nani awasikilize Wafaransa?
Mfaransa hakutaka RPF Inkotanyi ichukukue Nchi lakini Vijana wa Kagame waliendelea kutoa Dozi hadi Gitarama na kuwafurusha Interahamwe na wakaingia Kongo DRC sasa Vita imehamia huko.Mfaransa hakuwasaidia intarahamwe, yeye alikuwa bega kwa bega na serikali iliyokuwa madarakani ,
Safari hii huu mgogoro unaisha. Ilikuwa ni aibu na fedheha kwa Congo kuchezeshwa ndombolo na makundi ya waasi wakati nchi ina kila kitu.Bunduki haitasaidia kumaliza mgogoro wa DRC na M23 tupo hapa mkuu.
kwamba unafurahia M23 kuuwa wanajeshi wa munusco? unafikiri Rwanda ina uwezo wowote kupigana kama mnavyoaminishwa na Kagame? vita ni uchumi,na Rwanda uchumi wake upo chini sana kuweza kupigana, ndio maana hata kipindi kile jakaya amewabip, kagame alifyata mkia kabisa. operation kimbunga ililenga kagame ajibu chochote. kagame amerisk sana, ametoa jasho sana kujenga kigali (na sio kujenga rwanda kwasababu maeneo mengine yote ni masikini na machafu, ni kigali tu pale mji mdogo kabisa wameusafisha na kusema maendeleo),Wanachezea kichapo balaa tayari SANDF wawili wametangulizwa kwa baba mbinguni.