KAZI! KWELI KWELI? Sidhani kama rais anayemtu wa kumuamini tena!

rais anakua na uamuzi wake mwacheni na kama atakosea pia ataweza kuwapiga china kuweka wengine hadi siku wakikoma kuiba mali ya umma,,sheria inamruhusu kufanya hivyo
 
Nashauri twende pori kuandaa mazingira ya kuja na viongozi wazuri. Hili ndo lilobakia ktk kumsaidioa jk.
 
Back
Top Bottom