Kazi kweli kweli, kuchimba dawa kwingine mmmm!

attachment.php


Independent sisters
Inaelekea walikuwa kwenye safari ndefu(masafa marefu) lakini hata hivyo haikuihitaji kufotoana wangechimba dawa bila ya mapicha.

Sijui ndo biashara matangazo
 
Yaani mambo mengine ni ya kujitakia. Gari ni yao sio basi kwamba litawaacha, kwa nini hawakusimaa kwenye kapori kidogo hivi ndio wachimbe hiyo midawa yao!!!
 
Halafu wanakanyaga mikojo yao yaani hata viatu hawajavaa.
Watanzania tunaenda wapi sasa, maadili yanaporomoka kila siku zinavyoenda, kujisaidia na kufotoana mapicha

Kumaliza na kuwahi kuvaa huku mikojo ikiwa bado inachuruzika siongezei kupitisha maji golini
 
Back
Top Bottom