Kazi jamani,kazi natafuta!

Kajole

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
1,667
1,642
Habari wana-JF?,ni kijana wa kiume na nimegraduate bachelor of accountancy mwaka jana,nimekuwa nikihangaika kutafuta kazi bila mafanikio hvyo pls kwa yeyote mwenye information za kazi naomba 2peane taarifa.
 
Fungua hapo na omba usiogope
 
Attachments

  • ACCOUNTANT[1].doc
    149 KB · Views: 184
Asante sana mkuu lkn cjajua hao GGM ni akina nani?,kama vp naweza pata link yao?. Be blecd sana
 
Asante sana mkuu lkn cjajua hao GGM ni akina nani?,kama vp naweza pata link yao?. Be blecd sana

Kama kweli ukiwa unataka kazi jifunze kuandika vizuri na si kukatiza katiza kama unavyofanya. Hiyo inaonesha karakta yako ikoje. Ushauri wa bure.
 
Asante sana kwa ushauri wako,nitajirekebisha. Ubarikiwe kwa ushauri wako na nimefurahi sana kurekebishwa
 
Asante pia,sio lazima niwe mpole ndo nipatie kazi au niwe mkali ndo nipate hiyo kazi,kama ipo ipo tu..katika jamani lazima watu kama wewe wawepo
 
Mkuu jamaa amekutumia advert hapo juu nimeiona!ukiwa unatafuta kazi usiogope!you just try!hata pia kuitwa kwenye interview ukiikosa kazi unashukuru umepata experience ya interview!pia nakushauri upeleke CV yako kwa hawa recruitment agencciea like Radar recruitment,erolink nk wao huwa wanatafutiaga watu kazi,na huwa watu wengi wanapata job kupitia kwa hao agencies!

Kwa kazi ya kuanzia salary sio issue sana!unakamata kwanza then unaangalia ustaarabu mwingine ukiwa kazini!taabu ya vijana wa siku hz anatafuta kazi anataka salary ya kuanzia milion 2!

Kila la heri mkuu!
 
Asante sana kwa ushauri wako,nitajirekebisha. Ubarikiwe kwa ushauri wako na nimefurahi sana kurekebishwa

Nimefurahi criticism unaipokea katika positive way. Ubarikiwe mkuu natumai utafanikiwa soon katika utafutaji wako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom