Kazi ja jwtz lini kwa proffessionals zinatoka lini????

sasa kwa wale tulioko arusha inakuaje maana nina hamu ya kupiga kwata kinomaaaaaaaaaa
 
nenda kafundishe yan najuta bora ata ningesomaga ualim cz izi fani nyngne ful msoto.

nafahamu kama naweza kwenda kufundsha ila swali langu la msingi ni lini hizo nafasi zinatoka? Kama hujui ni vema ukanyamaza kimya.
 
sasa kwa wale tulioko arusha inakuaje maana nina hamu ya kupiga kwata kinomaaaaaaaaaa

Arusha..nenda pale njia ya phillips ama kama unatokea Impala hotel kwenda sekei..upande wako wa kushoto kuna kampuni pale inapigisha kwata..KK security..sio lazima mje tujazane huku..kwendeni mkalinde..:lalala:
 
nafahamu kama naweza kwenda kufundsha ila swali langu la msingi ni lini hizo nafasi zinatoka? Kama hujui ni vema ukanyamaza kimya.

inshort we utakua last priority cz 2nakuitaj zaidi uraiani..jesh halijatoa profshn kwa sasa mayb anza fatilia frm july mpaka earlier september.
 
nashndwa kukuelewa kwanin unakua na hasira na kuni insult embu pitia coment zangu kama kuna hata moja nlokupis off..ways am apologzin 4 my contribution fanya kama hukuziona.

very very sorry mkuu, nimejichanganya mwenyewe. Naomba nisamehe nimeshafuta hzo post nilizoku'insult peace nad love pa1 kaka
 
Naombeni tujuzane kwa hilo hapo juu

Mchakato wa kwenda kadeti ni mgumu,usaili wa wanajeshi kwenda kadeti bado haujaisha ukiisha huo ndo watatoka nje lakini nawakumbusha wale waliokuwa na MENO nusu hawatapata nafasi...kwani hata hao WA NDANI kikao kilikaa kuwajadiri ila walisamehewa.....

UHAKIKA NI MWEZI WA TISA VUTENI SUBIRA

JWT-JESHI LA WAKURYA TANZANIA

V-VUMILIA
V-VUMBI
V-VIZURI
HAPO NDO UNA V 3
 
haha zubeda mchuziii
 
meno nusu unamanisha yamevunjika au? Mana mi yote mazima bt bado magego 3 yatimie 32.
 
Mie bado sijaelewa, hao wa ndani una maana ni wale ambao tayari wapo jwtz au jkt?
Kuna wanajeshi ngazi ya diploma.waliajiriwa elfu 2 na 10 kwenda 11,walikuwa hawajaenda Kadet pamoja na wale waliojiendleza,usaili wao ndo unaendelea mpaka sasa.
Ukisikia usaili wa ndani wa afsa kadeti mana yake,ni Wanajeshi waajiliwa teali ambao wanafanyiwa usaili huo ili wakajiunge na afsa kadeti.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom