Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,043
- 2,000
Katika hali isiyo ya kawaida waziri wa jk anae shughulikia wizara nyeti ya elimu,amesema serikali haina pesa tena za kuwafadhil wanafunzi walokosa mikopo hvo wazazi watafute namna nyingine,ameyasema hayo katka kipindi cha dakika 45 kinachorushwa na Itv kila siku ya jtatu.swali,kuna haja gani ya kutumia mabilion ya shilingi ktk maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wkt kuna watu wamekosa ufadhili vyuon?