Kwa hiyo turuhusu mimba mpaka tutakapo tatua changamoto za maisha kama kujenga mabweni ya wanafunzi?? Mmmmhh yaani mkuu wewe bado sana utaelewa ukikuwa kidogo!!Ndio nasema ni factors kibao zinachangia ssa kwa kuwa tu hakuna namna ndio unasema amepanga?????
Be cosniderate hakuna anayetaka kupigwa mimba ule umri au kuanza kuchezewa shida ni mazingira ya maisha kijijini serikali ikisolve changamoto mfano shule za bweni unafkiri mimba hazitokuwa controlled??