Kauli ya Waziri Nyalandu

Asante sana Mkuu. Natumaini wale wazandiki wameelewa. Badala ya hoja wanaleta vitimbi. Msimamo wangu ni kwamba Nyalandu kaongea kama waziri anayeshughulika na utalii tatizo liko wapi? Au mlitaka atoe hadi ahadi ya kuchimba makaburi ndio muone ana "utu". Tuache unafiki wajameni.


This is a serious reductionism...................yaaani waziri awe kama nyundo?????? Kugonga na kutoa misumari tuuuuuu?????? .........eti ana wajibika kwa masuala ya utalii............mbona haishi huko kwenye vivutio kama mkereketwa????

Really waziri wa utalii aongelee utalii wakati wa msiba wa kitaifa???? If so....then boss wake ni mvivu au ana busara kwa status quo????

This ferry/ship wreck is a cross-cross cutting matter with a heavy weight and implications on Human dignity... i think the most important was to send condolecence without naming the so called.......tourists whatsoever......for whose interest was this word worthy-important to mention??????
 
Nimeangalia taarifa ya habari Itv,kwa kweli wamechukua muda wa kutosha kuelezea ajali ya meli iliyozama,pia wamehoji watu mbalimbali kuhusu tukio hili.Ilifikia kwa waziri Nyalandu,yeye akasema anashukuru watalii(Wazungu)wametoka salama.Hii nidhamu ya uwoga itaisha lini kwa viongozi wetu kuona wazungu ni bora zaidi.Ni juzi tu mawaziri wawili walikimbilia serengeti baada ya wazungu kuvamia.LAKINI KWA MTZ,USAFIRI HAMNA,MAFUTA HAMNA AU HAKUNA POLISI WA KUTOSHA.

hahahahhahaha,,,,jamani......usishangae,mwewnzio ndo amejitahidi kujieleza hapo
 
Dah! Ukisikia "vichwa masalia" humu JF ndio kama hivi. Asante sana Mkuu.
Uwe utalii wa ndani au wa nje haikuwa sawa kutamka vile,sio wote wanavuta bangi NA kuchanganyikia
 
Back
Top Bottom