Kauli ya Nassari yampa Nape la kusema

Mkuu unategemea Nape aongee nini tena uhuru FM!!!! Hata walipomuua katibu wao Kolimba, walikanusha, walipomlisha sumu mwakyembe na mwandosya wanaendelea kukanusha... Kuhusu sera za CDM akasome kwenye manifesto ya chama, tatizo ukishakua gamba unakua kama juha vile....
 
KILA ANAYETAKA ZANZIBAR IJITENGE NA BARA ANAPEWA ULAJI NA SERIKALI YA CCM,SASA NASUBIRI NIONE KAMA JUSA NA NASARI KAMA WATAPEWA ULAJI.
nasari shikila usemi wako.
 
Hivi radio ukhuru inatangaza hapa nchini kwetu au nchi ya jirani. Bahati mbaya vyombo hivyo: Gazeti la Uhuru na Radio Uhuru vimenipita pembeni. naona ni vyombo vya ndani kwa ndani (maofisi) ya magamba. Hawa ni mbumbumbu wa majimbo. Waende kwenye nchi zenye majimbo waone zilivyo na maendeleo (Marekani, Nigeria n.k). N akweli usilolijua ni kama usiku wa kiza.
 
Kauli ya nasari yamtoa nape mafichoni.sikuwahi kumsikia huyu kiumbe toka uchaguzi wa arumeru.sasa na atoe mapovu
 
nape nauye leo katika uhuru fm ametema sumu kali juu ya kauli ya mh. Nassari juu ya arumeru kuwa nchi. Ameihusisha jambo hilo na sera ya majimbo inayoinadi cdm.

Amesema cdm sera ya ukanda imeitafuna na mwisho kudhihirika siku ya mkutano wao uliofanyika nmc kuwa wanataka kuitenga tanzania kwa majimbo hasa kaskazini!!!!

Amekwenda mbali kwa kumponda dr. Slaa kuwa ndiye anayependa sana siasa rahisi yaani cheap politics na wamemzoea lakini si mbowe pale tu aliposema kuna wabunge 70 na mawaziri 7 ambao wapo njiani kuja cdm.

Amesema kuwa angesubiri waje na siyo kukurupuka!!!!!

Mwisho aliitaka cdm kutafuta sera maana inaonekana kufirisika. Akakionya chama cha demokrasia na maendeleo kuacha kukihusisha ccm au serikali na katika mauaji yaliyojiri hivi kabibuni katika chaguzi mbali mbali.

Source uhuru fm.

Mytake:

Kwa sumu aliyotema ile nape kuna haja ya kumjibu maana kakinukisha sana chama.

kama kuna mtu anawasikilza na kuzingatia viongozi wa ccm wanasema nini , basi afanye appointment ya kuonana na daktari wa magonjwa ya akili. Kauli ya mh nassari ni bora zaidi kuliko ufisadi wa epa,richmond nk, ukizingatia kwamba wahusika wanaenjoy life.
 
Nape Nauye leo katika Uhuru FM ametema sumu kali juu ya kauli ya Mh. Nassari juu ya Arumeru kuwa nchi. Ameihusisha jambo hilo na sera ya majimbo inayoinadi CDM.

Amesema CDM sera ya ukanda imeitafuna na mwisho kudhihirika siku ya mkutano wao uliofanyika NMC kuwa wanataka kuitenga Tanzania kwa majimbo hasa Kaskazini!!!!

Amekwenda mbali kwa kumponda Dr. Slaa kuwa ndiye anayependa sana siasa rahisi yaani cheap politics na wamemzoea lakini si Mbowe pale tu aliposema kuna wabunge 70 na mawaziri 7 ambao wapo njiani kuja CDM.

Amesema kuwa angesubiri waje na siyo kukurupuka!!!!!

Mwisho aliitaka CDM kutafuta sera maana inaonekana kufirisika. Akakionya chama cha Demokrasia na Maendeleo kuacha kukihusisha CCM au serikali na katika mauaji yaliyojiri hivi kabibuni katika chaguzi mbali mbali.

Source Uhuru FM.

Mytake:

Kwa sumu aliyotema ile Nape kuna haja ya kumjibu maana kakinukisha sana chama.

nape ni kama sungura kwenye kichaka sasa anasubiri chadema wakosee ndipo anajitokeza ana ishu tena mm nimetoka ukanda huo wa Nassari mm nasapoti kwa 100% mbona hawkuongea wakati ule ridhiwani alipo sema rais awezi toka kaskazini kame ww umetoka ukanda wa kaskazini lazima ufunguke sasa ni wakati ukanda wa kaskazini kujitenga na hawa waswahili ndo wanao rudisha maendeleo nyuma watu kutoka pwani hawezi kuongoza nchi zaidi ya kuchekacheka jukaani tu wakati watanzania wauumia chukulia mfano sokone moringe alikua acheki wakti washida tofauti na hawa [jk] kutoka pwni
 
Nape hili janga kwa ccm!!!!!!!badala ya kueneza itikadi yeye yuko bize na umbea,fitina na mizengwe hakuna mtu hapo!!!!!!!!!!!!!
 
CHADEMA wanapendwa sana na wananchi wa Tanzania baada ya kuonyesha njia ya kuwaokoa kutoka mikononi mwa watesi wao (CCM). Kwahiyo wanapaswa kutumia hekima na kuchuja maneno ya kusema mbele za watu wasije wakaonekana kuwa ni wahuni fulani tu. CDM please msiwape mwanya CCM wa kuwapaka matope mbele ya wananchi wanaowaamini. ALUTA kontinua
 
Mimi naungana na nasari kwa uwizi na uuzaji wa ardhi kiasi hiki bora hata sisi (mbeya) tujitenge tuu kwanza mipaka iliwekwa na wakoloni tunaweza weka na sisi yakwetu na kwa akili zetu.
 
Nape Nauye leo katika Uhuru FM ametema sumu kali juu ya kauli ya Mh. Nassari juu ya Arumeru kuwa nchi. Ameihusisha jambo hilo na sera ya majimbo inayoinadi CDM.

Amesema CDM sera ya ukanda imeitafuna na mwisho kudhihirika siku ya mkutano wao uliofanyika NMC kuwa wanataka kuitenga Tanzania kwa majimbo hasa Kaskazini!!!!

Amekwenda mbali kwa kumponda Dr. Slaa kuwa ndiye anayependa sana siasa rahisi yaani cheap politics na wamemzoea lakini si Mbowe pale tu aliposema kuna wabunge 70 na mawaziri 7 ambao wapo njiani kuja CDM.

Amesema kuwa angesubiri waje na siyo kukurupuka!!!!!

Mwisho aliitaka CDM kutafuta sera maana inaonekana kufirisika. Akakionya chama cha Demokrasia na Maendeleo kuacha kukihusisha CCM au serikali na katika mauaji yaliyojiri hivi kabibuni katika chaguzi mbali mbali.

Source Uhuru FM.

Mytake:

Kwa sumu aliyotema ile Nape kuna haja ya kumjibu maana kakinukisha sana chama.

Kwani Nape ni msemaji wa polisi au wa chama? Jambo linahusu polisi yeye analiingilia kama nani, au ndo ya Polisi na CCm ni kitu kimoja?

Huyu na naona anadandia gari bila kufahamu mwelekeo mwelekeo wake.
 
hivi anaposema cdm imefilisika kisera amepima kweli cdm na CCMagamaba nani aliyefilisika kisera...?
ni nani anayebeba watu na magari kwenda kwny mikutano, pamoja na kulazimisha watu kwenda mikutanoni...?
SIKU ZOTE MTU ALIYENDANI YA BOKSI FIKRA ZAKE HUTEGEMEANA SANA UKUBWA WA BOKSI ALILOMO......!
 
NA KATI YA NASARI NA RADIO IMANI..NI NANAI ANAYEWAGAWA WATANZANIA WAMEFIKA MPAKA MAHALI WANAWAKASHIFU VIONGOZI WA KITAIFA...MASIKINI PAMOJA NA MWL.NYERERE LAKAINI VYOMBO VYA DOLA VIPO KIMYA...KWA NINI LAKINI..?
 
Apimie wapi? Hawa magamba kwa ujumla wamekosa hata balance ya kusomea alama za nyakati!

Yani wapowapo tu siku zisonge mbele ila hakika hukumu yao itakuwa mbaya sana!
Tuombeane uzima na tuone.
 
Back
Top Bottom