Kauli ya JK Mtwara; Mafuta yamegunduliwa TZ?

Ibrah

JF-Expert Member
Mar 22, 2007
2,729
528
Juzi Rais JK akiwa ziarani Mtwara, alinukuliwa na vyombo vya habari akiwataka wakazi wa Mtwara wajiandae kupokea uchumi mkubwa kwa kuwa Mtwara kuna hazina kubwa ya gesi na Mafuta. Hadi sasa sijajua mantiki ya kauli ya Mh Rais, maana tunajua kuwa kuna gesi Kilwa (Songosongo Island) na pia mwaka juzi tulitangaziwa kugunduliwa kwa gesi nyingi Mkuranga. Nijuzeni Wana wa jambi; Je, Mafuta yameshagundulika Tanzania?

hana cha kuwaambia wana mtwara zaidi ya kuwajaza ma hope.. Mimi nilitegemea akienda kufungua barabara ya lami au mahospitali .lakini yeye ameishia kwenda kukakagua shamba la mihogo .

hivi ni kweli hilo shamba la heka 3 alilokagua..

kama kweli kuna mafuta na gesi wataanza kuhamishwa au kula kwa macho kama vile kwenye maeneo ya migodi ambapo wakazi wa maeneo husika hawafaidi chochote pamoja na kuwa karibu na migodi. Sana sana kutaibuka migogoro tu, kama eneo alilokuwa anatokea ken sarowiwa wa Nigeria.

Sasa kama mkuu wa nchi keshasema Mafuta yamegundulika Mtwara, issue iko wapi sasa? huko mkururanga na kwingineko ni politics tu, mpango nzima ni mtwara

Juzi Rais JK akiwa ziarani Mtwara, alinukuliwa na vyombo vya habari akiwataka wakazi wa Mtwara wajiandae kupokea uchumi mkubwa kwa kuwa Mtwara kuna hazina kubwa ya gesi na Mafuta. Hadi sasa sijajua mantiki ya kauli ya Mh Rais, maana tunajua kuwa kuna gesi Kilwa (Songosongo Island) na pia mwaka juzi tulitangaziwa kugunduliwa kwa gesi nyingi Mkuranga. Nijuzeni Wana wa jambi; Je, Mafuta yameshagundulika Tanzania?

Wajiandae kwa umaskini zaidi au vita. Mahali popote kwenye hazina huwaga hakuna amani hata kidogo na wananchi wanabaki maskini wa kutupwa.

Nina ushahid wa kuwepo kampuni inayotoa crude oil hapa TZ hivi tunavyoongea. Na sio unafik wala umbea. Nitatoa details kwa mwandish anayeweza ku expose hii kitu,coz its very fishy.

nenda mtwara ya leo sio ya mwaka jana nilikuwepo mtwara wakati rais akiwepo mambo yanayo semwa ya ukweli kabisa kwa macho sio mpaka uambiwe majukwaani ndg zangu tuwe makina mambo yanafanyiaka ni hatari,

kama kweli kuna mafuta na gesi wataanza kuhamishwa au kula kwa macho kama vile kwenye maeneo ya migodi ambapo wakazi wa maeneo husika hawafaidi chochote pamoja na kuwa karibu na migodi. Sana sana kutaibuka migogoro tu, kama eneo alilokuwa anatokea ken sarowiwa wa Nigeria.

POINT OF EDUCATION;-
MTWARA KUNA ENEO LINAITWA MSIMBATI..... huko kuna pwani baharini iitwayo MNAZI BAY..... huko baharini kuna hazna kubwa ya ges.. tena visima vpo vngi sanaaaa......ni kisma kmoja tu kilichotobolewa..... ilikuja meli maalum toka canada wakachmba.
Gesi iko pamoja na mafuta..... lakni ni gesi tu imefungiwa mitambo na mafuta yanaachwa..... nilitembelea huko......

HABARI XENYUUUU BANAAZZZZZ

another curse na mtu mwenyewe legelegele tumwekwishaaaa kodi watakusanya shs mia tuuu

Juzi Rais JK akiwa ziarani Mtwara, alinukuliwa na vyombo vya habari akiwataka wakazi wa Mtwara wajiandae kupokea uchumi mkubwa kwa kuwa Mtwara kuna hazina kubwa ya gesi na Mafuta. Hadi sasa sijajua mantiki ya kauli ya Mh Rais, maana tunajua kuwa kuna gesi Kilwa (Songosongo Island) na pia mwaka juzi tulitangaziwa kugunduliwa kwa gesi nyingi Mkuranga. Nijuzeni Wana wa jambi; Je, Mafuta yameshagundulika Tanzania?

Mbona Oil iko siku nyingi tu, soma huku:

RIGZONE - Artumas: Tests Confirm New Discovery in Tanzania

http://allafrica.com/stories/200802251337.html

kama kweli kuna mafuta na gesi wataanza kuhamishwa au kula kwa macho kama vile kwenye maeneo ya migodi ambapo wakazi wa maeneo husika hawafaidi chochote pamoja na kuwa karibu na migodi. Sana sana kutaibuka migogoro tu, kama eneo alilokuwa anatokea ken sarowiwa wa Nigeria.

Nadhani itakuwa ni vyema kuwaacha hapo hapo wachimbe wao wenyewe, au unasemaje?

Nina ushahid wa kuwepo kampuni inayotoa crude oil hapa TZ hivi tunavyoongea. Na sio unafik wala umbea. Nitatoa details kwa mwandish anayeweza ku expose hii kitu,coz its very fishy.

Mungu turehemu kama ni kweli! Is that the way that we handle things? Mambo yetu wenyewe, nchi yetu wenyewe na kwa macho yetu wenyewe tunayaona na kujifanya hayatuhusu.

Sasa kama mkuu wa nchi keshasema Mafuta yamegundulika Mtwara, issue iko wapi sasa? huko mkururanga na kwingineko ni politics tu, mpango nzima ni mtwara

Sizinga, kauli ya Rais Mtwara si kauli rasmi, maana hilo si suala la Kimkoa bali la Kitaifa. Kauli ile inapaswa kutolewa na RC wa Mtwara, nadhani tunapaswa kupewa taarifa hiyo formaly and not by they kama alivyofanya Rais.

Ndio maana nauliza; Mafuta yamegunduliwa Tanzania?

Nina ushahid wa kuwepo kampuni inayotoa crude oil hapa TZ hivi tunavyoongea. Na sio unafik wala umbea. Nitatoa details kwa mwandish anayeweza ku expose hii kitu,coz its very fishy.

Kwani hiyo ni siri? mbona kuna kampuni zaidi ya 22 zinafanya exploration on shore na of shore na zinatoa crude oil, lakini kwa kiwango kidogo sana sio commercial. Na mwaka jana mwanzoni iltangazwa kuwa kimbiji kuna kisima kinachoweza kuto pipa 10,000 kwa siku kitapokuwa tayari kwa uzalishaji.

Ingekuwa umeona crude inazalishwa na kusafirishwa nje ya Tanzania bila ya kutolewa taarifa za kueleweka hapo ndio ingekuwa niuz.

Google japo kidogo uone oil iliyopo Tanzania na si siri.

ndugu zomba hio crude oil inayotolewa na hizo EXPLORATION companies inaenda wapi? And dont be fooled kua the quantity produced is not commercially viable. Ndio maana nikasema there its fishy.Nashauri usi google tu,changanya na zako. Im not refuting the presence of oil and the companies but im skeptic of their eti EXPLORATION!

Tatizo kauli za rais siyo reliable, na kama ni kweli basi misamaha ya kodi itakuwa 99%, anayebisha tupinge!

Back
Top Bottom