Kauli tata za Nape zinaigharimu ccm

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
2,696
740
KAULI YA NAPE MARA BAADA YA USHINDI WA SIOI: Source: HABARI LEO

Ushindi wa Siyoi: Wakati huohuo, Katibu wa Uenezi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Nape Nnauye, amesema utaratibu wa kuteua mgombea aliyepata asimilia 51
ya kura za maoni bado haujaanza kutumika rasmi CCM.

Alifafanua kuwa bado chama hicho kina nia ya kufanya mabadiliko katika mfumo wake wa kura za maoni, ili kifike mahali mgombea anayetoka chama hicho, awe amechaguliwa kwa asilimia 51 ya kura zote.

Alisema hayo alipohojiwa na gazeti hili kuhusu ushindi wa kura za maoni katika jimbo hilo kwa Siyoi Sumari ambaye idadi ya kura zake ni pungufu ya asilimia 50 ya kura zote.

Katika uchaguzi wa kura za maoni uliofanyika juzi Arumeru kwa ajili ya kupatikana mgombea wa CCM, Siyoi (30) aliibuka na ushindi kwa kura 361 kati ya kura 1,034 za wajumbe wa chama hicho.

Wagombea wengine walikuwa William Sarakikya (259), Elirehema Kaaya (205), Elishiria
Kaaya (176), Anthony Msani (22) na Rishiankira Urio aliyeambulia kura 11.

Akizungumzia taarifa hizo, Nape alisema hakuna
ushahidi wowote unaothibitisha taarifa hizo,
hivyo hawezi kuisemea hali hiyo ina athari gani
kichama katika uchaguzi huo mdogo unaotarajiwa
kufanyika Aprili mosi.
Uchaguzi huo unatokana na kifo cha aliyekuwa
mbunge wa jimbo hilo, Jeremiah Sumari (CCM)
aliyefariki dunia mwezi uliopita.
Imeandikwa na John Mhala,Arusha na Halima

huyu ana kiherehere sana kama babake..alileta kiherehere kujifanya kwenda afghanistan wakamfyekelea mbali shingo..sasa ndo kamuachia mwanae urithi huo
 
Adui namba moja wa hiki Chama Cha Mapinduzi kote nchini ni moja tu; ni ule ugonjwa wa UNDUMILAKUWILI NA UNAFIKI WA KUPINDUKIA kwa kila walitendalo.

Na hizo ndizo sababu za kusababisha kusambaratika kwa chama hiki na kuishiwa nguvu kila pembe ya taifa hili. Hakika anguko la CCM litakua baya zaidi kuliko hili anguko la KAFU ya Maalim Seif tunayoishuhudia hivi sasa.

KAULI YA NAPE MARA BAADA YA USHINDI WA SIOI: Source: HABARI LEO

Ushindi wa Siyoi: Wakati huohuo, Katibu wa Uenezi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Nape Nnauye, amesema utaratibu wa kuteua mgombea aliyepata asimilia 51
ya kura za maoni bado haujaanza kutumika rasmi CCM.

Alifafanua kuwa bado chama hicho kina nia ya kufanya mabadiliko katika mfumo wake wa kura za maoni, ili kifike mahali mgombea anayetoka chama hicho, awe amechaguliwa kwa asilimia 51 ya kura zote.

Alisema hayo alipohojiwa na gazeti hili kuhusu ushindi wa kura za maoni katika jimbo hilo kwa Siyoi Sumari ambaye idadi ya kura zake ni pungufu ya asilimia 50 ya kura zote.

Katika uchaguzi wa kura za maoni uliofanyika juzi Arumeru kwa ajili ya kupatikana mgombea wa CCM, Siyoi (30) aliibuka na ushindi kwa kura 361 kati ya kura 1,034 za wajumbe wa chama hicho.

Wagombea wengine walikuwa William Sarakikya (259), Elirehema Kaaya (205), Elishiria
Kaaya (176), Anthony Msani (22) na Rishiankira Urio aliyeambulia kura 11.

Akizungumzia taarifa hizo, Nape alisema hakuna
ushahidi wowote unaothibitisha taarifa hizo,
hivyo hawezi kuisemea hali hiyo ina athari gani
kichama katika uchaguzi huo mdogo unaotarajiwa
kufanyika Aprili mosi.
Uchaguzi huo unatokana na kifo cha aliyekuwa
mbunge wa jimbo hilo, Jeremiah Sumari (CCM)
aliyefariki dunia mwezi uliopita.
Imeandikwa na John Mhala,Arusha na Halima
 
kwa mujibu wa updates ni kuwa assasinator chatanda ndie kijogoo hapo meru. bila chatanda HAKUNA CCM AR.
 
Huyo mama damu-yakunguru CCM ndio kabisaa wapiga kura hawataki hata kumsikia pamoja na chochote anachosimamia.

kwa mujibu wa updates ni kuwa assasinator chatanda ndie kijogoo hapo meru. bila chatanda HAKUNA CCM AR.
 
Adui namba moja wa hiki Chama Cha Mapinduzi kote nchini ni moja tu; ni ule ugonjwa wa.... KUPINDU..A .... kila (walisemalo na )..walitendalo.

Na hizo ndizo sababu za kusababisha kusambaratika kwa chama hiki na kuishiwa nguvu kila pembe ya taifa hili. ......

Lakini hiki kinaitwa Chama Cha Mapinduzi. Ukilichunguza sana hili neno MAPINDUZI na ukalinganisha jinsi baadhi ya viongozi wa CCM wanavyoendesha siasa za chama hiki utagundua namna neno Mapinduzi lilivyo na "maana" kwao.
 
Adui namba moja wa hiki Chama Cha Mapinduzi kote nchini ni moja tu; ni ule ugonjwa wa UNDUMILAKUWILI NA UNAFIKI WA KUPINDUKIA kwa kila walitendalo.

Na hizo ndizo sababu za kusababisha kusambaratika kwa chama hiki na kuishiwa nguvu kila pembe ya taifa hili. Hakika anguko la CCM litakua baya zaidi kuliko hili anguko la KAFU ya Maalim Seif tunayoishuhudia hivi sasa.

Namuomba MUNGU aisisikie sala yangu kabla sijafa. CCM isambaratike; iwe vipande, na vipande. Kila mwenye upendo na nchi hii, aseme AMINA.
 
Kwa ufinyu wa akili za Nape, si ajabu naye ndani ya moyo wake kuna dhamira ua kutaka kuwa rais siku moja kwa sababu ni Katibu wa Itikadi wa chama tawala na alisha kuwa mkuu wa wilaya!
 
Back
Top Bottom