Kauli tata za Kikwete kama kiongozi mkuu wa nchi hizi hapa

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,855
401
Naanza na ya kwanza na ya pili:-

(1) Mpaka sasa sijui ni kwa nini nchi yangu ni maskini.
(2) Watoto wa shule mnapata mimba kwa sababu ya vihelehele vyenu.
 
Hakuna namna lazima DOWANS walipwe, baada ya miezi 2 akasema hawajui DOWANS wala hana haja ya kuwajua. Source hutuba (pumba)za kila mwisho wa mwezi
 
Mimi na mwanangu tunasonga mbele..

Ww unafikiri jenereta ni sawa na hlo koti ulilovaa.
 
3) miaka mitano ya mwanzo nilikuwa najifunza sasa nipeni tena awamu ya pili.
4) mwenye kuleta mvua ni mungu na maji ni mungu pekee!
5) serikali haiwezi kuongeza mishahara hata mkigoma miaka nane (8)
mkuu zipo nyingi sana kauli mbovu kwa huyu jamaa lakini ndo hivyo tena anaongoza taifa la kusadikika!
 
Tumerudisha shangingi la mkuu wa kambi ya upinzani bungeni lakini bado Tunatembelea Range Rove - Voge nyeupe. tunataka kuonyesha unyonge wetu
 
Back
Top Bottom