Katika wasanii, mimi nampenda Pembe, wewe je?

Yusomwasha

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
2,092
835
kwenye maisha ya uswahilini na pwani huwa kuna kashda za pwani
kwa namna hyo basi hapa nazungumzia pwani kwa ujumla maneno ya waswahili wa pwani hunikosha sana na huwa kuntu tena pambee tena hataree
napenda sana hawa watu wananikosha sana na vijineno na kashda ambazo ni shutu babu
kuna hawa wafuatao nawakubali sana
bi chau,bi hindu,gea habib,mariam migomba aka mami originale,mwanne othman aka toto la matashtiti,mishi bomba aka mishi `b`
kwenye taarabu namkubali isha mashauz aka the queen of bext melodies
malkia leyla rashidi,mfalme mzee yussuf,jokha kassim,hanifa maulid aka jike la chui,fatma nyoro,ashura machupa
kwenye bendi za taarab kuna
jahaz modern taarab,dar modern,wakali wao modern taradance,five star na mashauz Classic
wadau bora na wapenzi wa taarab ninaowapenda ni- afidhi alawi aka mvuto mia kwa mia,halfan rangi adimu,jesca haul


haji hassan,clasic kirikuu,zamiri mvuto,thabit abdul,rukia aly,neema wa michambo,levina mathias,saidi mdoe,kamongo mistabin aka mtoto wa msasani.TAJENI WENGINE WADAU
 
Watoto wangu wakinunua CD ZA BONGO MOVIE KAMA HAYUPO MZEE MAJUTO, JB NA MBOTO HUWA SIANGALII.
 
hawa moderators wa jf wakasome maana kichwa cha habari nimeandka kulingana na uzi sasa wameedit wakaleta mambo ya pembe hiki si kichaa
mtu kama huwezi kuwa moderators bora uache
 
moderators hivi mnatenda haki kweli? kwanini mmeedit kichwa cha habar mkaweka habari za pembe?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom