Katika vitu vilikuwa vinaogopwa enzi ya Nyerere.........!!

Bendi zote za dance zinapomaliza show, lazima zipige mwimbo wa "♪♯♭Chamaa ♪ chetuu♪ cha Mapinduziiii♪ chajenga nchii x2 ♪♯♭"
Yes Indeed, unapousikia wimbo huu, basi ndio ujiandae kwenda kulala... Damn! Mambo ya chama kimoja.
 
Dah enzi zile bana kuna vitu tulivikosa lkn maisha yalikuwa standard. Wote tulisoma shule moja saint kayumba na watoto wa wakubwa. sikumbuki kusikia mtu anatongoza mke wa mtu, gesti zilikuwa chache mno wengi wali duu vichakani! lakini leo hii khaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom