Katika Ulimwengu huu - Haki za binadamu ni za wakristo pekee?

Status
Not open for further replies.

Bornvilla

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
924
271
Tumeshuhudia kadhia nyingi sana nchini Tanzania na ulimwenguni kote na sasa nimegundua kitu.

Karibuni tulishuhudia shekhe maarufu Tanzania akiamuliwa kulala chini akiwa na joho lake pamoja na kujitambusha kuwa yeye ni shekhe Nurdin Kishki pia akimtambulisha muft wau Oman. Pamoja na hayo hawakueleweka wakaambiwa kutoka kwenye gari na kulala chini. Hatukusikia makardinali au vyombo vya habari au wanaojiita watetezi wa haki za binadamu kukemea.

Shekhe Ponda kapigwa risasi akapelekwa hospitali akatiwa pingu na mwisho akaishia gerezani mpaka leo kesi haieleweki na watetezi wa haki za binadamu kimya.

Tuliona mpandikizaji wau chuki zikizopelekea mchungji kufa Kule Geita hakukamatwa hadi leo yupo mtaani. Askofu mpemba alitoa CD na kuendesha mahubiri ya chuki na kashfa dhidi ya uislam kwenye radio yake na ikasababisha maafa lakini hakikamatwa wala hadi leo hana kesi mahakamani.Lakini kwa muislam lazima awindwe na kufungwa au kumalizwa kabisa.

Tumeona kila kukicha mashekhe pale nchini Kenya wakipigwa risasi na kuuawa.Hatujasikia haki za binadamu wakilia.

Tumeshuhudia Burma waislam wakiuawa kwa kuchomwa moto. Hakuna jeshi la amani au waislam kupewa ulinzi wasiuawe na hata watetezi wa haki za binadamu hawakushughulishwa na hilo kwa vile ni waislam.

Tumeona waislam wakiuawa Afrika ya kati ufaransa wakaenda wakidai wanalinda amani lakini ndio wanaowabaka wanawake katika makambi. Mbali na hilo hakuna ulinzi kwa vile wanaouawa ni waislam watajiju. Ulimwengu wa haki za binadamu kimyaaa kwakuwa hao ni waislam wanaopigwa.

Sitaki niseme yaliyotokea Bosnia na Chechnia, ila niende Gaza ambayo ni kilio cha kila Siku. Wapalestina kila Siku wanazikana! Vyombo vya habari vyoote vimatazama upande mmoja tu iliko Israel. Mashirika ya binadamu kimyaaa wakati watoto wanauawa, wanawake na watu wasio na hatia.Hapa sisemi mengi kwa vile sote tunaona kinachoendelea Gaza na hakuna msaada kwa wanyonge.

Chakushangaza Iraq ISIS wamekamata eneo la kaskazini waliko wakristo kila kona ya dunia wanaomba wakristo wakalindwe huko. Papa amekuwa wa kwanza kupaza sauti yake na wachambuzi wa mambo wameona ni wakati wa kusema ulinzi na amani Iraq. Ilipovamiwa na marekani ilikuwa sahihi ila leo panahitaji ulinzi ili waislam wasitawale.

Saddam alinyongwa, Gaddafi akaletewa NATO na akauawa.Leo Libya ni vita sijasikia kelele ikipigwa amani ikalindwe kwa vile ni waislam acha wachinjane.

Je,haki za binadamu na amani nikwa wakristo pekee?
 
Mbona usemi alishababi, alqaida na boko haramu mambo wanayowafanyia watu wasio waislamu? Pia palestina wanatakiwa waondoe utawala wa hamasi mana hao ndo wakulaumiwa na hawana zuri kwa wananchi mana mnaamini kufa kwa kupigana na kafiri mnaenda mbinguni ndo mana hawajali pia usishindane na mtu anayekuzidi nguvu kwa mfano palestina kwa sasa hana uwezo wa kumpiga israeli kwanini asikubali kuwepo kwa taifa la israeli na kuomba mapatanisho? Hapa ni bora kuwa mnyonge na kukubali yaishe mana hii vita hana uwezo wa kushinda cha kufanya ni ku surrender
 
Magaidi wapigwe tu. Tena nasema wapigwe tu popote walipo maana tumechoka na ushenzi wao. Nawapongeza sana Israel kwa kuwashikisha adabu magaidi wa Palestina. Tushirikiane kutokomeza magaidi Alkaida, Bokoharam, Alshabaab na washenzi wengine duniani kote.
 
Mamia ya watoto wanaouawa na wanawake ndio magaidi? Watoto wanasilaha je,watoto na wanawake wamefanya mashambulizi mangapi Huko Israel? Mkuu! Unapotoa hoja lazima upime vizuri kabla ya kupost?
Mungu aliangamiza Sodoma na Gomora kwa dhambi yao inakuwaje wewe ushabikie upande wa machukizo ambao ni uasi na ukafiri? Uislam ni sheria za Mungu.Lakini chakushangaza mnazikataa sheria na kkumbatia shetani. Ukweli ni kuwa waislam hawana pakukimbilia zaidi ya kupambana!
 
Wote wanaouliwa huko Gaza ni magaidi, hata kama ni mtoto ama mwanamke , wote ni magaidi ndiyo maana wanauawa.
 
Mkuu we unataka nini?!

Weye meelewa nini....!?

Ulizo lako tayari laonesha uishafahamu kuwa tatizo/ mtoa mada kakusudia nini.

Jibu lako lipo kunako kitabu TITO [3:9]

Haya kasome kisha urejee hapa na ufahamu ulotimia.
 
Magaidi wapigwe tu. Tena nasema wapigwe tu popote walipo maana tumechoka na ushenzi wao. Nawapongeza sana Israel kwa kuwashikisha adabu magaidi wa Palestina. Tushirikiane kutokomeza magaidi Alkaida, Bokoharam, Alshabaab na washenzi wengine duniani kote.

momumo malafyale
 
Wewe una matatizo apo kichwani kwako

Sasa io ya Ponda umefatilia mpaka mwsho na sababu ya yeye kuwa ndani au basi unaleta siasa tuu umu
 
Mbona usemi alishababi, alqaida na boko haramu mambo wanayowafanyia watu wasio waislamu? Pia palestina wanatakiwa waondoe utawala wa hamasi mana hao ndo wakulaumiwa na hawana zuri kwa wananchi mana mnaamini kufa kwa kupigana na kafiri mnaenda mbinguni ndo mana hawajali pia usishindane na mtu anayekuzidi nguvu kwa mfano palestina kwa sasa hana uwezo wa kumpiga israeli kwanini asikubali kuwepo kwa taifa la israeli na kuomba mapatanisho? Hapa ni bora kuwa mnyonge na kukubali yaishe mana hii vita hana uwezo wa kushinda cha kufanya ni ku surrender

mbona unapinga bila hoja?? somalia 99.99% ni Muslims, hao wakristo wanaouwawa na alshabab ni wawapi??..unahakika bokko haram wanaua wakristo au wanaua wanaowachokoza?? nakushangaa sana ukizungumzia kuhusu al-Qaida wakati bwana Wes penry kaichambua vizuri propaganda hiyo ktk www.forbiddenknowledge.com !! shame to u!!! fanya utafiti kwanza kisha Njoo na data....
 
uelewa wako ni mdogo mno, ponda kakamatwa na serikali ya rais mwislam, amiri jeshi mwislam, IGP alikuwa mwislam na kamanda mkoa wa dar muslam na mkuu wa mkoa huo mwislam,na mkuu wa usalama mwislam, je anayesigina haki ya binadamu ni nani apo??

Gaza , kwa nini palestina wanaanzisha vita wakijua hawataiweza?? je nao wanasilimishwa au kulazimishwa dini au umeunga tu humo humo?? Nigeria kikundi kilichoteka watoto ni cha kidini, Zanzibar aliyemuu padre ni wa kwenu, ila wewe unaona shehk kulala chini na kakamatwa na utawala wa dini yake ni shida?

Kwa tz mkiona kwa serikali hii ya kidini bado hamtetewi, msitegemee kama kuna mtu mwenye dini tofauti na hii aje kuwathamini, .... haki za binadamu hazilindwi kidini ila na serikali za taifa au mataifa mkuu.

Mimi siamini kabisa katika kugombania hizi dini zetu!! Let God contend for himself!!
 
mbona unapinga bila hoja?? somalia 99.99% ni Muslims, hao wakristo wanaouwawa na alshabab ni wawapi??..unahakika bokko haram wanaua wakristo au wanaua wanaowachokoza?? nakushangaa sana ukizungumzia kuhusu al-Qaida wakati bwana Wes penry kaichambua vizuri propaganda hiyo ktk sex !! shame to u!!! fanya utafiti kwanza kisha Njoo na data....

ukifanya utafiti kutafiti raw data ni ukichaa!! maghaidi woote wanajulikana source yao, drawing board akiwa Osama na recepients...
 
Waislamu wameumbwa kulalamika na kuomba wahurumiwe muda wote kana kwamba wanaonewa bila kuangalia wanapokosea mfn hapa Tanzania hata raisi awe mwenzao watasema tunakandamizwa na mfumo kristo,hii awamu ya nne sikutegemea wangelalama lakini ni kama jana tu,huu muda wa kulalama wangeutumia vizuri kujiendeleza ili kuwakimbiza hao wanaoamini wanapendelewa wangekua mbali,mleta bandiko kaishia kutaja waislamu wanaouwawa tu kasahau makundi ya kiislamu yanayovunja haki za kibinadamu mfn Bokoharamu,Alqaeda,Al-shabab mbona hajasema balaa la West-gate pale Kenya au tindikali kule Znz na vipi mabomu ya kule kanisani Arusha nahisi ukizaliwa muislamu unaaminishwa kua unaonewa maana tangu niwajue sijapata kuwasikia wanaonizunguka wakiwa wameridhika na mfumo wowote kila siku wanakandamizwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom