Katika suala la kununua ardhi hakuna mjanja, tusibishe

Hapo kisheria kabisa mchakato mzima wa kuuza nyumba ulikua sio HALALI kwasababu makaka walifanya udanganyifu

Hapa ilitakiwa hao makaka wapambane na kosa la forgery na warudishe gharama zote kwa Mkinga

Mkinga akaona sana sana ataishia kuwafunga tu maana hiyo hela wlikwisha itumia na uwezo wa kuilipa hawana

Kuna muda unafika inabidi sheria uiweke pembeni kupunguza hasara

Nilipata habari alikamata magari yao na viwanja vya chanika kujaribu kufidia
hivi sasa kidogo sawa ningeshangaa sana kama jamaa walitoka clean kirahisi, ila still taratibu nyingi kama taifa waweka sheria wanatukwamisha, na mbaya zaidi unakuja kukutana na ike kauli maarufu ya "kutokujua sheria sio kinga"
 
Sheria za nchi hii zina ukakasi sana maana wahuni wanapita nazo humo humo

Huwezi kununua wala kuuza aridhi bila kupitia kwa watendaji wa mitaa na vijiji, na ndio wanaoshiriki kucheza michezo yote michafu ya utapeli wa kuuziana aridhi lakini hakuna hata mmoja aliyeshitakiwa achilia mbali kusimamisha kazi tu
Huwezi kuuza wala kununua kiwanja bila hawa vibaka kuidhinisha

Mambo yakienda mramba wanajigeuza washauri mmalizane tu bila kushtakiana
 
Huuzi wala kununua kiwanja bila hawa vibaka kuidhinisha

Mambo yakienda mramba wanajigeuza washauri mmalizane tu bila kushtakiana
Hatari sana mkuu, wasuka dili wanageuka wasuluhishi
 
Kwenye kununua Ardhi bila umakini kupigwa ni nje nje, Huwa nashangaa sana watu wanaridhika na sign ya M/kiti au Mtendaji wa sehemu husika, Wakati ukifuatilia kwenye mamlaka za ardhi hawatambuliki ,
 
Sheria za nchi hii zina ukakasi sana maana wahuni wanapita nazo humo humo

Huwezi kununua wala kuuza aridhi bila kupitia kwa watendaji wa mitaa na vijiji, na ndio wanaoshiriki kucheza michezo yote michafu ya utapeli wa kuuziana aridhi lakini hakuna hata mmoja aliyeshitakiwa achilia mbali kusimamisha kazi tu
Huwezi kuuza wala kununua kiwanja bila hawa vibaka kuidhinisha

Mambo yakienda mramba wanajigeuza washauri mmalizane tu bila kushtakiana
Inasikitisha sana
 
Yani mimi na kufanya yote nchi hii ila suala la kununua ardhi ni muoga sana. Ukiona malalamiko kesi za ardhi ni nyingi kuliko nyingine.

Kuna jamaa alinunua ardhi kwa ajili ya sheli kumbe wana mirathi wengine walikuwa hawajapata stahiki, ilibidi kuongeza pesa tena ili kukamilisha manunuzi.
Migogoro mingi Sana iliyopo kwenye masuala ya ardhi pamoja na majanga yake yote yamesababishwa na Serikali kwa kushindwa kutekeleza Sera za Mipangomiji sambamba na kupima ardhi yote hapa nchini, Hali ambayo imesababisha kuibuka kwa matapeli na kuiteka mateka Sekta yote ya ardhi hapa nchini.
 
Kwenye ardhi hakuna mjanja! I'm a Tu yasikukute.
Unaweza kuuziwa ardhi na wazazi na miongoni mwa watoto akawa Shahid, siku ardhi ikipanda bei na wazazi kufariki wanakuja wehu kukuambia uliwarubuni ndg zao, wakiona unabisha wanakuloga, wanakuondoa jumla. Huu ujinga upo vijijini na vijiji vilivyochangamka
 
Back
Top Bottom