naona wanaumeeeee woooote wamesema ooh uongo lazma,,,wengine wasema bila uongo humpati,,, wengine wasema uongo +uongo,,,,yaani hakuna hata mmoja aliekumbuka kuwa kuna neno ukweli....
jamani mmeambiwa sema ukweli utakaokuangamiza usiseme uongo utakaokuteketeza,,,,sasa kumbe kwahiyo wanaume wooote watateketea,,,?????
turudi kwenye topic,,,, mie nampenda sana na ndie ntakaemzidishia mapenzi mwanamme atakaenambia ukweli wa maisha yake...anambie nilham mi nakupenda lakini sina nyumba nakodisha siku zoote,,, gari sina na kazi yangu hafifu,,,huyo kwangu ntamuona ndio mwenye mapenzi daima na ntampenda vile alivyo,,,,, lakini namchukiaa jimtu likurupuke latoka linakotoka ajanambia ooh nnna magari 6mlangon nna nyumba yenye flat 15,,,oohh nnna nnafanya kazi japani,,,ukamtizama huyo anayekwambia maneno hayo hata bodgad hana,,,,jamani wwanaume hawafai kusema uongo maana kwenye macho yao utaliona hili jitu lanidanganya,,,
na hivyo mnasababisha tusiwape mapenzi ya kweli...ni nyie wenyewe ndio mwatufundisha mapenzi ya gari nanyumba,,,heheheh,,,loool
Mi ukinidanganya najua mapema sana!!! Bora uniambie ukweli niamue mwenyewe kutokana na huo ukweli. Na mimi huwa namwambia mtu ukweli ili aamue kutokana na huo ukweli wangu. Tena hasa kama nimekupenda au moyo wangu unaonesha dalili za kukupenda.
Ukinidanganya nikishajua unageuka adui, au mtu wa kawaida tu, kama vile hatujawahi kuongea yani. Lakini ukiniambia ukweli, hata kama hujakubaliana na mm kwa sababu ya huo kweli, basi utabaki kuwa rafiki wa kawaida kama utapenda, na mimi hivo utakuwa rafiki yangu, urafiki uliyojengwa ktk msingi wa ukweli.
Hebu Fikiria mtu anasema anakupenda lkn ni mume wa mtu halafu anadanganya sijaoa, duh nikijua tu, hata salamu yangu hupati. Bora useme nina mke na watoto lkn nimekutamani au napenda ningekuwa na ww ktk hili na hili.....hapo naamua cha kufanya.
Au ww unataka mahali pakupunguzia tamaa zako, unakuja na gia ya kuoa, dah......
Kuna mwingine anasema vizuri hadi we mwenyewe unatamani kumuoma kila siku, mf. Ni kweli nataka mtu wa kumuoa kwa sababu umri wangu unaniruhusu nioe sasa, lakini naomba tuwe tu marafiki wa kawaida, hatujui kesho itaamua nini, huku tukimuomba Mungu. Dah we maneno kama haya utamkataa mtu, manake huyu hata msipo oana tayari unaye rafiki mzuri.
naona wanaumeeeee woooote wamesema ooh uongo lazma,,,wengine wasema bila uongo humpati,,, wengine wasema uongo +uongo,,,,yaani hakuna hata mmoja aliekumbuka kuwa kuna neno ukweli....
jamani mmeambiwa sema ukweli utakaokuangamiza usiseme uongo utakaokuteketeza,,,,sasa kumbe kwahiyo wanaume wooote watateketea,,,?????
turudi kwenye topic,,,, mie nampenda sana na ndie ntakaemzidishia mapenzi mwanamme atakaenambia ukweli wa maisha yake...anambie nilham mi nakupenda lakini sina nyumba nakodisha siku zoote,,, gari sina na kazi yangu hafifu,,,huyo kwangu ntamuona ndio mwenye mapenzi daima na ntampenda vile alivyo,,,,, lakini namchukiaa jimtu likurupuke latoka linakotoka ajanambia ooh nnna magari 6mlangon nna nyumba yenye flat 15,,,oohh nnna nnafanya kazi japani,,,ukamtizama huyo anayekwambia maneno hayo hata bodgad hana,,,,jamani wwanaume hawafai kusema uongo maana kwenye macho yao utaliona hili jitu lanidanganya,,,
na hivyo mnasababisha tusiwape mapenzi ya kweli...ni nyie wenyewe ndio mwatufundisha mapenzi ya gari nanyumba,,,heheheh,,,loool
kiukweli ukimwambia ukweli mdada utachelewa kumpata ila ukumdanganya unampata kiulaini uasio dada lizz na suzz
ha hahaaa!! uwiiiiiii, binafsi sipendi kusema uongo, ila inapobidi hua nautumia, na utakuta wkt mwingine ukisema ukweli mwenzio hakuamini ila tia kiuongo tu kidogo utasikia usirudie tena honey!! mwaaaaaaa
na kiukweli kabisa umapokuwa unamdanganya huyo mdada jua na wewe anakudanganya hivyo ivyo. Kama we unadanganya nini kinakufanya ufikirie ye hawezi kukudanganya?
LD hapa tabu ipo hivi mf.wewe unapenda uambiwe ukweli lakini ukweli unaweza ukakufanya upae mita 100 pengine niliwahi kuona kwa jamaa furani ulimkataa kwakuwa alikuambia yeye anataka akuoe akutoe mjini akupeleke kijijini.so mimi inabidi nije kivingine ili nisikukose kama huyo jamaa.
nunuu unaona rafiki yako mpaka sasa hajaolewa? hapo mfano angetia chumvi kidooogo tu mambo yangekuwa bambam.Kabla sijajibu nitoe kisa hiki cha ukweli kabisa,,
Kuna msichana ni mkweli sana , na kila mtu mtaani anajua jinsi alivyo mkweli kwa kila jambo analotendal liwe baya au zuri,,liwe linamhusu au alimhusu yeye siku zote ni mkweli sana.Na yeye uwa anasema dhambi zingine anaweza kufanya (kibinadamu) lakin hii ya uongo sitafanya kamwe.
Alipata bahati ya kupata mchumba ,wakiwa katika hali ya kufahamiana mwanaume akaomba kujua historia ya huyu msichana. Msichana akajieleza ukweli kuwa yeye alishawahi kuwa kwenye uhusiano mara 3 tangu alivyoanza hayo mambo ya mapenzi, lakin bahati mbaya hakupata bahati ya kuchumbiwa na kuolewa kwa sababu yeye anakoroma sana usiku, kila mwanaume aliyemwambia hivyo aliacha kumwoa baada ya kusikia. Hata huyu naye alisema basi hawezi kumwoa msichana anayekoroma japo ana sifa nyingine nzuri anazotaka mkewe awe nazo.
Huyu msichana mpaka hii leo hajaolewa japo ana tabia nzuri sana, mzuri sana, ila tatizo ni hilo la kukoroma tu kila anapolala, NA YEYE ANALIWEKA WAZI KWA KILA MWANAUME ANAYETAKA KUMWOA....na ameapa kutodanganya mpaka kufa kwake,nami namuunga mkono ksb naamini ipo siku atakutana na mkweli mwenzie atakayeelewa tatizo lake na kulitafutia ufumbuzi na siyo kumkimbia kama wafanyavyo hawa wapenda kuongopewa (uongo).
najibu kama ifuatavyo,, UKWELI NI MZURI SANA, NA MKWELI ANAFANIKIWA PALE TU ANAPOKUTANA NA MKWELI MWENZIE..pia naamini mafanikio ya mwongo ni ya muda mfupi tu,kwani
ipo siku ukweli wake utajulikana.
Unaweza kusema uongo ili uweze fanikiwa ktk jambo ulilokusudia, katika mapenzi mwisho wake huwa mfupi sana. Sioni ufahari wowote kwa gentleman kujibebesha sifa hasizokuwa nazo ili aweze kumpata mdada, siku akikugundua hutakuwa tofauti na mpita njia tu. Kama unajiamini na umekamilika, sidhani kama kuna sababu ya kutumia uongo.